miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,109
nipo salama sanaZa kwangu nzuri sana tu....vipi ya kwako miss chagga
nipo salama sanaZa kwangu nzuri sana tu....vipi ya kwako miss chagga
kumenya viazi, unapigishwa deki na kuosha vyomba + matusiKama anatongoza huku meza imechafuka inabidi nicheke cheke tu maana hakuna namna nikinuna si ntaachiwa bill mezani mwishowe nishikiliwe nibaki kumenya viazi