miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,109
hawezi kuona siku mbaya kwa kweli ,, mtu umeamka unawaza unaingizaje pesa leo mtu anakuja kuleta mtongozo lazima iwe laanaMtongozaji atakuwa kakosea trick...inatakiwa aanze kurusha kama vi laki viwili kwa M-pesa hio asubuhi ndio aullize jibu tuone kama utaiona siku mbaya!