Kumtongoza mwanamke asubuhi ni laana?

Kumtongoza mwanamke asubuhi ni laana?

Sijatongoza muda mrefu nahisi nishasahau...

Last time nimetongoza nilipewa jibu ambalo lilinifanya nisiwe na hamu ya kutongoza.
 
Sijatongoza muda mrefu nahisi nishasahau...

Last time nimetongoza nilipewa jibu ambalo lilinifanya nisiwe na hamu ya kutongoza.
Kwanini Mkuu, hebu nipe kidogo yaliyokukuta.
 
Mtoa post yaelekea ni kawaida yake kila siku bila kuweka mswaki mdomoni hawezi kutongoza kabisa ndio maana anatongoza asubuhi
 
Itakuwa poa sana maan hapo kwenye maandamamo tunatongoza wengine hapo hapo
 
Siku hizi watu hawatongozwi...sijui lakini,labda mie nipo dunia nyingine.. Ukinisimamisha ukaanza kunitupia verse sahau kunipata..

Kwaiyo mtu akitaka kukupata afanyeje?
 
Habari Wakuu!

Eti ni kweli mwanaume kumtongoza mwanamke au kutongozwa mida ya asubuhi ni laana?

Ni kweli kwenye kutongoza kuna time limit?

Wajuvi wa mambo hebu tusaidiane jamani.
Hata kama ulilala nae ?
 
Back
Top Bottom