Kumtongoza mwanamke asubuhi ni laana?

Kumtongoza mwanamke asubuhi ni laana?

Anytime utani unaruhusiwa..maana siku hizi kutongoza ni kama utani tu....asbh unarusha kete, saa nne unamaliza mzigo...! Yaani kama utani
 
siku hz dada zetu nao wamekuwa warahisi, mi nshazoea kuwatongoza kwa msg sijui nayo asubuh asubuh ni laana, teh!
 
Mkuu, kwahiyo hata ukitongoza asubuhi hakuna tatizo kwa zama hizi?
mi naona mapenzi ni hisia za mtu, na hisia hazina muda wala sehemu maalum... Yaani uogope kusema kisa ni asubuhi upo kwenye daladala unaenda job... halafu baadae unaanza kujuta
 
kutongoza ni mda wowote hakuna limit
na kutongoza asubuhi ndo gud unaianza siku fresh
 
Ndio, tunajiandaa na maandamano ya kwenda ikulu kupinga udhalilishaji tunaofanyiwa mitandaoni
Ha ha haaa
1453118042012.jpg
 
Back
Top Bottom