Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,850
Nitawasaidia kuandamanaTunaandaa maandamano ya Amani tumechoka
Nitawasaidia kuandamanaTunaandaa maandamano ya Amani tumechoka
Itakuwa na yeye alikuwa na mzuka na wewe.Mi nishawahi tongoza asubuhi sio laana wala nini mana ilibidi nifanye hivyo sababu kuna dem chuo mi na mshikaji wangu tulitokea kumtamani Wote so tukasema ataemuwahi ndo wake bahati mbaya au nzuri asubuhi naenda class nakutana nae mlango wa class nikalianzisha Hapo Hapo ni raha Sana sababu hakuwa ametegemea ambush ile
Mkuu, ngoja waje akina Sara na miss chagga wakupe ushauri.Mkuu na Wale wanaowatafuna mahousegirl asubuhi baada ya mabosi kwenda kazini tunaita ile bahati ama nao ni mkosi
Mfano mzuri kwako, huwa unajisikiaje Mkuu kutongozwa asubuhi?inategemea na ntu anayetongoza mwingine akikutongoza asubuhi uhahisi umepata balaa hadi job unaogopa utafukuzwa, mwingine anafanya day iwe smilingg[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji28]
Mfano mzuri kwako, huwa unajisikiaje Mkuu kutongozwa asubuhi?
fuata vigezo na mashartiKivipi?
Sijakuelewa bado.
Siku hizi watu hawatongozwi...sijui lakini,labda mie nipo dunia nyingine.. Ukinisimamisha ukaanza kunitupia verse sahau kunipata..Mtongozo c ndio mwanzo wa mahusiano jamani! Na badae labda ndoa hadi familia.
haya nakujaHebu ni PM basi dada'angu.
Ulijuaje mana ni kweliItakuwa na yeye alikuwa na mzuka na wewe.
Niko hai bado mpnzhaya nakuja