Hayo ni mawazo ya mwanaume asiyejiamini usiwape watu wakujaze na fikra za kijinga...msupport mkeo katika hilo suala la elimu na isitoshe wewe ndio sababu ya yeye hadi leo hii hajahitimu masomo ulimkatisha masomo
Mimi nawashangaa hawa watu humu,kama mwanamke alibadilika akiwa mbinguni mbele za mungu na malaika na raha zote,
Huu ni wakati wa kuhinua uchumi wa nchi yetu TANZANIA .Lazima Serilikali hitumie kila mbinu kuhinua hali ya maisha ya wananchi.Kwasasa hivi Tanzania uchumi wetu mkubwa hunatokana na kilimo.Kwahiyo serikali lazima hitafute njia zingine zaidi kuhingiza mapato na hajira zaidi.Nafikiri tatizo kubwa zaidi ktk nchi yetu ni hajira kuwepo na mikutano namna la kutatua tatizo hilo.Sasa hivi tunawasomi na wanauchumi lazima wakae pamoja nakufafanua na jinsi ya kuwasidia wananchi .
Habari wadau, Naomba niwashirikishe katika hili.
Nina mke wangu ambaye kwa sasa tuna kama miaka takribani sita,wakati tunaingia mahusiano alikuwa yupo form six,alipomaliza tu A-level nikampa mimba bahati nzuri alipata nafasi akachaguliwa kwenda St John Dodoma na mkopo juu asilimia kama themanini hivi,kutokana na hali halisi aliyokuwa ya ujauzito kwake likawa tatizo tukaamua kuahirisha tena bila wazazi wake kujua.
Baada ya miaka miwili na miezi nane akiwa amejifungua na mtoto angalau mkubwa mimi nikaamua aende chuo atimize ndoto zake.Mpaka sasa anasoma chuo na ameingia mwaka wa pili.
Tatizo nililonalo ni kuwa kuna baadhi ya watu wamekuwa wakinibeza kuwa napoteza muda vyuoni kuna mambo mengi watakuchukulia na mwanamke atakuja kunigeuka nikabaki nisijue la kufanya.
Mwaka 2017 ndio anamaliza chuo.
Je, wewe mdau mstaarabu hembu nisaidie kwa hekima zako!
Jidanganye,hao kenge huwa hawasomeshwi,unaharibu mizania,mizani ilikuwa imebalansi were unaongeza uzito upande wake,hao viumbe waliongea na shetani wa kwanza kabisa kati ya viumbe wote mungu alioumba,utakuja kulia,mwanamke mwanamke tu,awe binti,mkeo,kakuzalia,mzee. Tupa kule
mtie mimba nyingine haraka mno...mimba ya kwanza ndio ilimpa tabu hiyo ya pili atasoma fresh akiwa na tumbo lake otherwise jiandae kupigiwa na watoto wa chuoni kwao pale
Inategemea na mtu mwenyewe, ila vyuoni kuna wake za watu wanafanya mambo ya aibu kuliko vibinti single.
Inategemea na mtu mwenyewe, ila vyuoni kuna wake za watu wanafanya mambo ya aibu kuliko vibinti single.
Wewe mwenyewe kutoka rohoni mwako unajisikiaje?
Maneno ya watu yanakuwa na nguvu kutegemea na msimamo wako!!
..kweli kabisa Case study college of education Ud..o..m.
Mie naona kumsomesha imekaa poa kabisa...pia kuna sababu zenye nguvu za kufanya hivyo,1.ni zawadi kwake kwa kunizalia mtoto,2. Ni kwa ajili ya maisha ya mwanangu