Kumshitaki Mbunge Lusinde kwa matusi aliyomwaga Arumeru

Hii inanifananisha na kibaka anayekwapua simu then anapewa adhabu ya kuchomwa moto mzimamzima na raia wenye hasira kali!Jamani hapa mimi naona wote wanamatatizo hapo maana hata magamba wameishaitwa sokwe na wengine mashoga so haya ndiyo matokeo yake hawana budi kuwa wapole,kama ulivyomsikia Lusinde mwenyewe anakiri kuwa anakichaa cha kuzaliwa sasa walipoanzisha majungu hawakujua kuwa kuna vichaa CCM wa namna hii??
 
matusi waliyaanza wenyewe kwa kumtukana mkapa na wasira tena walifananisha na nyani sasa wanalalamika nini ?
 
Wenye jukumu la kumshtaki Lusinde ni Watanzania na sio Dr Slaa, Lema au Mbowe.

Mkuu, nilishawahi kukuuliza by proffesional ni mwansheria? Ofcourse sion sababu ya viongozi wa CDM kumshitaki nadhani hapa Mtikila anaweza akajitosa ulingoni.
 
kumshitaki huyo Kilaza ni kuendelea kufuja kodi za wananchi maana huyo akishitakiwa na watu wakasimama kidete anakula miaka...
Haina haja ya kumshitaki ni wa kuachana nae tu maana hapo tayari ushahidi upo wazi, ni sawa na kesi za Wabunge wa CCM na CDM, ni uharibifu wa muda na pesa za walalahoi
 
Hivi kisheria, unaweza kumshtaki LUSINDE kwa matusi aliyomwaga hapa kwenye hii VIDEO? Au kisheria inabaki kuwa ni sehemu ya kampeni? Maana naona kama kwenye kampeni unaweza kupiga hata chini ya Mkanda.

Hivi kuna watu wanaweza kujikusanya na kuchangia kwa mfano gharama kidogo na Tundu Lisu akishirikiana na wanasheria wengine wampandishe huyu jamaa kizimbani?

Hivi kumwaga Matusi mazito mbele ya watoto wadogo kama hao wanaoonekana hapa kwenye Video, katika sheria za Tanzania inaruhusiwa? Kama hapana, kuna uwezekano wa kumshtaki huyu Mgogo wetu?

Naomba Mods muiache hii hapa kwani nimeiweka kitengo cha sheria.


Mtaambiwa mlete ushahidi
 
Last edited by a moderator:
Hivi kisheria, unaweza kumshtaki LUSINDE kwa matusi aliyomwaga hapa kwenye hii VIDEO? Au kisheria inabaki kuwa ni sehemu ya kampeni? Maana naona kama kwenye kampeni unaweza kupiga hata chini ya Mkanda.

Hivi kuna watu wanaweza kujikusanya na kuchangia kwa mfano gharama kidogo na Tundu Lisu akishirikiana na wanasheria wengine wampandishe huyu jamaa kizimbani?

Hivi kumwaga Matusi mazito mbele ya watoto wadogo kama hao wanaoonekana hapa kwenye Video, katika sheria za Tanzania inaruhusiwa? Kama hapana, kuna uwezekano wa kumshtaki huyu Mgogo wetu?

Naomba Mods muiache hii hapa kwani nimeiweka kitengo cha sheria.


Bado siamini. Nadhani hii video imetengenezwa na Chadema.
 
Last edited by a moderator:
Huyu jamaa hana uchiz wowote,kichaa uwa hajtaj kuwa me ni kichaa!hv ccm hamna watu wazma wa kuyaona hayo?..rip ccm
 
Hakuna haja ya kukimbizana na kichaa aliyenyakua nguo zako wamwache mwenyewe atajiona mjinga.
 
Mnalijadili chizi hili? Sidhani kama ana akili hata moja., Mtera na nyie kweli mna mbu'nge? Khaaaa
 
Hakuna haja ya kukimbizana na kichaa aliyenyakua nguo zako wamwache mwenyewe atajiona mjinga.
Mkuu Lusinde sio kichaa.Lazima jambo fulani lifanyike ili atueleze huyo bwana wa Lema ni nani na hiyo mimba ya Kamanda mkuu kapewa na nani na upuuzi mwingine wote aliosema autolee ufafanuzi nunda huyu.Siasa ina vijembe sio matusi.Kuna watu wanataka kusema eti vijembe kwa Mkapa na Wasira ni matusi sio kweli hata kidogo. Mie Chakaza mbona sura yangu kama sokwe na mtu akinifananisha nao nitaona kawaida tu!maana kwanza Wassira na mie yeye handsome wa uhakika.Lakini ukiniambia maneno yale ya Lusinde tena mbele ya watoto ambao uwezo wa kuchuja haupo siwezi kubali kabisa.Lusinde ashughulikiwe,hatuwezi kuwa na viongozi wapuuzi kama hawa hata kidogo.Najua pamoja na kumwagwa kura za maoni mzee JS Malecela bado kura yake alimpa Lusinde bse ana mapenzi na chama chake. Sasa mpe clip ya aliyoongea mrithi wake kama hata toa machozi! Mahakama ndio saizi yake hata kama kesha declare kuwa yeye kichaa.
 
I am so disappointed na hizi kampeni zetu. Ni kweli kabisa vyama havina sera za kujinadi mpaka watukanane majukwaani? Nimeumia sana
 
wana CCM wenzake wamegundua kuwa wamebugi step na kuna taarifa kuwa wamemtimua kwenye timu yao ya kampeni huko arumeru. Mwanzoni mwa maiaka ya 90 na hasa katika uchaguzi wa 1995 vyama vya upinzani (NCCR - MAGEUZI ikiwa moto wa kuotea mbali chini ya mzee Mrema aka CCM B) vilipigiwa sana kelele kuwa vilikuwa vikitoa lugha za matusi katika kampeni. Hii ilikuwa ni utetezi wao kila walipoona wanamageuzi wanakua siku hadi siku. CDM imekuwa ni mwiba mkali sana kwao kiasi kwamba hivi sasa hawana la kusema kwani matokeo yake ni kama anayoyasema Mheshimiwa lusinde. Mambo kwao bado yataendelea kuwa magumu kwani ahadi wanazozitoa zinawasuta kwani wamekuwa madarakani tangu enzi za Uhuru. Nimeangalia juzi Mlimani TV viongozi wa Serikali za mitaa Arumeru wakionyesha maji wanayoyatumia kunywa yakiwa yana vyura na akawalalamikia sana wanamagamba wenzake namna wanavyotafuna nchi huku wakiwasahau kabisa. Mungu tunusuru na haya magumu yanayotokea kutokana na kutokuwa na utashi wa kisiasa. AMENI
 
Nimeona mulivyo biased nyinyi wachangiaji wote na ndiyo maana watu wanadai JF ni CDM. Wakati Mkapa anachafuliwa na mwendawazimu Vincent Nyerere muliona raha sasa CCM wameleta mwehu anayemzidi Vincent muna panic! Kweli mkuki kwa nguruwe....

Mkapa hakutukanwa tusi hata moja.Aliambiwa fact kwamba aeleze kifo cha mzee wetu nyerere,aliambiwa aeleze kwa nini ameuza nchi.Unaweza kutoa mfano wa tusi hata moja toka kwa vicent kwenda kwa mkapa?
 
Hiyo kesi itakuwa kituko tunaanza na Lema, alete ushahidi wake kuthibitisha mahakamani Siyoi ni shoga.
 
Back
Top Bottom