Nachojua wewe siyo mungu Wala shetani, wewe ni binadamu uliyekwenye mpango wa Mungu wa siku ngapi umesalia nawe uwe miongoni mwa waliotangulia,pole sana mkuu,, mambo ya kujimwambafai yamekwenda na maji.
Niliwaambia wenzio ,,Uovu haudumu.
Hata ufanyeje ,, uovu utapita tu ndo maana shetani kaandaliwa jehanamu.
Usipoacha uovu nawe jehanam ni yako.
Ila pole sana,, honestly kutoka moyoni.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Sasa, unapata wapi ujasiri wa kuhukumu wafu??