Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,972
- 22,932
- Thread starter
- #81
Naunga mkono ushauriMkumbatie na kumnyonya titi la kushoto kisha mwache hapo hapo!
Hiyo ni adhabu kubwa sana kwake.
Hutajutia.
Naunga mkono ushauriMkumbatie na kumnyonya titi la kushoto kisha mwache hapo hapo!
Hiyo ni adhabu kubwa sana kwake.
Hutajutia.
Wakivuka mpaka usiwafuate waache waendako, wewe endelea na mishe zako.Uko sahii Japo kina MDA wanawake wetu huvuka mipaka,
hamna mazingira yeyote ambayo mwanaume akikupiga atakua hajakosea??
Hahahaaa akirudi kwako baada ya kutoka polisi atakuwa ni zoba huyo 😂Mimi nipigwe na fimbo iliyofungiwa zipu ila tofauti na hiyo asalaleeee nakulaza polisi week nzima namuhonga na OCS upate adhabu kali ya virungu vya ugoko!!
Na ukirudi nakukanda afu nakupoza na papa ili siku nyingine akili zikukae sawa, ujue kudeal na issue za ndoa kwa hekima
mngekua na uwezo najua mngetupiga😂Kwamba nyie malaika hamkosei? Mbona hatuwapigi? [emoji57][emoji57]
Mwanaume ni kichwa, huwa hakosei, ukikutana anakosea basi ujue huyo bado mvulana na hajafikia level ya kuitwa mwanaumeKwamba nyie malaika hamkosei? Mbona hatuwapigi? [emoji57][emoji57]
Hahahaaa akirudi kwako baada ya kutoka polisi atakuwa ni zoba huyo [emoji23]
mngekua na uwezo najua mngetupiga[emoji23]
Na wanao achana baada ya kufumaniana huwa ni wadhaifu ama?Watu wanaolala uchi kitanda kimoja usiwalie yamini hata siku moja.
Wanandoa wanafumaniana wanarudi home inaoshwa, wanaendelea walipoishia [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na wanao achana baada ya kufumaniana huwa ni wadhaifu ama?
Hiyo ndio adhabu watoayo wanaume wenye akili, uko na mwanaume mwenye akili usimuache aibiwe na kina Ashura wa TabataAjabu akapiga ukutani kisha akanibeba kituo kwa bed, nilipelekewa moto nikawa namuomba msamaha kwa makosa yake
Umeutafsiri vizuri sana huu uziMapenzi yanataka mmoja ashuke
Hiyo ndio adhabu watoayo wanaume wenye akili, uko na mwanaume mwenye akili usimuache aibiwe na kina Ashura wa Tabata
Wanaojielewa wapo kabisa wachache na ndio hao huwasamehe wanawake wakorofiIjapokuwa wanaume wengi ni wagumu kuomba msamaha ila wengi wanaojielewa baada ya kumpiga mke huomba msamaha na hawarudii tena baada ya kuona lile tukio
Kila la kheriHao kina Ashura watakunywa soda tu lakini lazima chupa irudi kiwandani. Simuachi ng’oo nakaba mpk penati [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umeutafsiri vizuri sana huu uzi
Kila la kheri