Kumpiga mwanamke ni jambo la kijinga sana

Kumpiga mwanamke ni jambo la kijinga sana

Juzi mida ya night nilisikia sauti nyumba ya jirani

"wakisema watoke wanaume na we utatoka" mwanaume gani una wivu wa kike hivyo?"

Baada ya hapo nikasikia pwaaaaah' pwaaaah' nadhani ilikuwa ni kofi lililopigwa pande mbili kweusi na kweupe.
Kama hakupigwa jamaa basi huyo mdada ndiye alipigwa pwaaah pwuuuuh😂
 
Ndugu siyo kwamba unapiga kama unamtandika mwanaume mwenzio hapana walau mara moja moja akileta ujinga unapiga hata kofi hilo kofi unamzaba mkiwa wawili tu,hii kujikuta gentleman atakuja akuaibishe mbele za watu vinginevyo bado hujakutana nayo..
 
Ubabe, ukorofiii wa mke ni ishu iliyo ndani ya nafsi na Sio mwilini huwezi mbadili kwa kipigo.
Kama ulikosea kuoa uamuzi ni wako.
 
Ndugu siyo kwamba unapiga kama unamtandika mwanaume mwenzio hapana walau mara moja moja akileta ujinga unapiga hata kofi hilo kofi unamzaba mkiwa wawili tu,hii kujikuta gentleman atakuja akuaibishe mbele za watu vinginevyo bado hujakutana nayo..
Zamani ilikuwa ukimtwanga mangumi anakaa kimya, siku hizi ukimtwanga mangumi anawasiliana na wakili wake kufungua kesi, mwisho wa siku unaenda jela.

Ni heri kuacha kupigana naye tu 😂
 
Back
Top Bottom