Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,271
- 96,398
Hunishindi mimi, kama unabisha sema suu!MEKUPENDAJAE SASA!
akuje mzima mzima!sio hii ya mask!
Hunishindi mimi, kama unabisha sema suu!MEKUPENDAJAE SASA!
akuje mzima mzima!sio hii ya mask!
Ndo ujue tofauti kubwa kati ya nyagi na Guiness......!
Kazi kwel kwel......lakin binadamu yoyote c wakumuamini maana moyo ni msitu mkubwa.
Inawezekana ukampenda mtu lakini haumwamini. Mfano mtu akiwa kicheche lakini we unampenda hivyo huwezi kumwamini. Cha kufanya ni kutomfuatilia sana ili kupunguza maumivu ya moyo.
tena wenye kiza kinene
Wivu katika mapenz ni kama udambwi dambwi iv katika msosibabu dunia ya sasa inatufanya tunaowapenda kwa dhati tusiwaamini MwanajamiiOne wivu
Hii umeitoa makaburi ya Kinondoni au Kisutu?Wivu katika mapenz ni kama udambwi dambwi iv katika msosi