Umeona eh mjukuu mtiifu? Ndo maana nikamuuliza amependa au ametamani?Kuwa unampenda kiukweli and yet you don't trust him? How? is it a trust of jealous that is problem here? Au unamaanisha kuwa unampenda ila huamini kama yeye anakupenda kweli.............mwenzenu mie siku hizi nazeeka kichwa haikamati stations
Hahahah Babu mie nakupenda ndio maana nimekutrust aisee ila wivu upo. BTW: Mjukuu wako amu naona kachanganyikiwa labda aelezee ni kitu gani kinachomfanya asimtrust huyo mkwe wako babu AsprinUmeona eh mjukuu mtiifu? Ndo maana nikamuuliza amependa au ametamani?
BTW hivi unanipenda au ndo unanitamani tu? Lol Nimekumisi mpk meno yamepata ganzi
Umeona eh mjukuu mtiifu? Ndo maana nikamuuliza amependa au ametamani?Kuwa unampenda kiukweli and yet you don't trust him? How? is it a trust of jealous that is problem here? Au unamaanisha kuwa unampenda ila huamini kama yeye anakupenda kweli.............mwenzenu mie siku hizi nazeeka kichwa haikamati stations
Haya binti amu ukuye pande hii umwambie mjukuu mtiifu ni kitu gani kinakufanya usimtrust huyo mkwe wangu? Afu uniambie na yeye anakutrust au ndo mmekutana walewale?
Hahahahah namwonea huruma huyo chalii ako asee. Na ukilivurumisha yeye anatulia au na yeye analianzisha?
Kuna tofauti kubwa kati ya kupenda na kutamani. Ukipenda utajikuta automatikale unamwanini. Ndo ile mamsemo ya mapenzi ni upofu yanapokujaga. Ila kama ni kutamani tu..... Aaaaah uaminifu tupa kule.
BTW we mwenyewe unajiamini? Isije ikawa mkuki kwa nguruwe lol
Hivi leo Jumangapi?
Umeona eh mjukuu mtiifu? Ndo maana nikamuuliza amependa au ametamani?
Afu hebu mkumbushe yale mambo ya mila.... Mwanaume hajaumbwa kwa ajili ya mwamamke mmoja, right? Kama hatakuelewa mwambie akafanye utafiti kwa mabeberu na majogoo. Ila sasa mwanaume wa ukweli mwenye busara hatakuonyesha kama anazengea kikojoleo chobingo lol
BTW hivi unanipenda au ndo unanitamani tu? Lol Nimekumisi mpk meno yamepata ganzi
Umeniita Paloooooo.....?leo juma-vunja jungu!
twende tukamalisie ile wansuki aisee....mbony shafoooo asprooooooooo
Umeniita Paloooooo.....?
Hahahaha mbon safoo Palooooo...
Saidia mdogo ako amu kuna kidume kinamshusha mtima lol. Hebu cheki na mjeda tuvunje jungu lini sie, hata kama halituhuu
aku babu lanihuuu sana tuu hilo jungu kuu manake halikosi ukoko na mie nautaka huo ukoko!
ila mjeda linamhuu....tuje twende shamba!!!
huyu amu namtafutia somo..............nadhani ntampeleka mombasa huyu!
hajui kuwa mapenzi ni sanaa! ukianza kuleta mambo za trust and lov katika hii dunia ya sasa ni tabu tupu!
ukitaka kufaidi amu bibiwee nkupashe ...relax afu fanya usanii wa maana! hatashuka mtu kwenye haisi, dcm, vits, verossa wala the famous celica! sembuse pick up dabo cabin!!! manina kabisaaa!!!
Hahahaha hapo nimecheka kwa sauti, manake enzi hizo sie bado twabukua, hiyo makitu ilikuwa inaitwa lori...... Ila uzuri wa hiyo makitu nawe nikupe mfundo bibie, waeza enda nalo kwa starehe (si lina kiyoyozi bana), au ukaenda nalo kanisani/msikitini, Kama vipi laeza kuwa ambulance, au ukatinga nalo shamba kuvuna mihogo na hata msibani likakusitiri ukabeba jeneza LOL.... Ila tatizo sasa, nguo ya kuazima haisitiri makalio.....:clap2:aku babu lanihuuu sana tuu hilo jungu kuu manake halikosi ukoko na mie nautaka huo ukoko!
ila mjeda linamhuu....tuje twende shamba!!!
huyu amu namtafutia somo..............nadhani ntampeleka mombasa huyu!
hajui kuwa mapenzi ni sanaa! ukianza kuleta mambo za trust and lov katika hii dunia ya sasa ni tabu tupu!
ukitaka kufaidi amu bibiwee nkupashe ...relax afu fanya usanii wa maana! hatashuka mtu kwenye haisi, dcm, vits, verossa wala the famous celica! sembuse pick up dabo cabin!!! manina kabisaaa!!!
aku babu lanihuuu sana tuu hilo jungu kuu manake halikosi ukoko na mie nautaka huo ukoko!
ila mjeda linamhuu....tuje twende shamba!!!
huyu amu namtafutia somo..............nadhani ntampeleka mombasa huyu!
hajui kuwa mapenzi ni sanaa! ukianza kuleta mambo za trust and lov katika hii dunia ya sasa ni tabu tupu!
ukitaka kufaidi amu bibiwee nkupashe ...relax afu fanya usanii wa maana! hatashuka mtu kwenye haisi, dcm, vits, verossa wala the famous celica! sembuse pick up dabo cabin!!! manina kabisaaa!!!
Hahahaha hapo nimecheka kwa sauti, manake enzi hizo sie bado twabukua, hiyo makitu ilikuwa inaitwa lori...... Ila uzuri wa hiyo makitu nawe nikupe mfundo bibie, waeza enda nalo kwa starehe (si lina kiyoyozi bana), au ukaenda nalo kanisani/msikitini, Kama vipi laeza kuwa ambulance, au ukatinga nalo shamba kuvuna mihogo na hata msibani likakusitiri ukabeba jeneza LOL.... Ila tatizo sasa, nguo ya kuazima haisitiri makalio.....:clap2: