kampelewele
JF-Expert Member
- Oct 13, 2014
- 2,998
- 2,414
Nadhani analipiza chungulia nyuma utanye tathimini si ajabu unakumbuka shuka kumekucha! Ukiwa tayari tuanze kukupa ushauri wa kurejesha penzi (nachukia wanaopenda kuachanisha wapenzi mara misuguano inapoanza)Yaani kuweza naweza japo nilimuweka moyoni sana