Kumpenda mtu asiyekupenda inatesa sana!

Kumpenda mtu asiyekupenda inatesa sana!

Baada ya Yale masahibu yako ya aliyekuwa mume wako kumtafuna mdogo wako, kumpa ujauzito na hatimae kuachana, tayari umeanza mahusiano mapya eeh!!!

Pole sana, jamaa hakupendi, it's very simple, hakupendi, sijui kama wewe hulioni hilo au ni kengeza la mapenzi.

Halafu huyo jamaa asije kuishi kwa nyumba yako, usije kumshushua kama aliyekuwa mume wako.
Watu mna kumbukumbu!!! Mie hata sikumbuki kama nishawahi kumuona humu!
 
Heri ww Dada yangu Mimi hapa na mwezi apokei cm wala kunijibu text huyuu mwanamke kanifanya niwe chizi kazini.ila nimeapa akuna mwanamke ataisoma namba kwenye maisha yangu. Nimetoka job nimeingia kulala.Eee Mungu anisaidie nivuke hili Salama.

Mwezi tu unalia hivyo [emoji2] [emoji2] relax tushawahi kuchuniwa miezi 6 ila bado tukakomaa
 
d
Baada ya Yale masahibu yako ya aliyekuwa mume wako kumtafuna mdogo wako, kumpa ujauzito na hatimae kuachana, tayari umeanza mahusiano mapya eeh!!!

Pole sana, jamaa hakupendi, it's very simple, hakupendi, sijui kama wewe hulioni hilo au ni kengeza la mapenzi.

Halafu huyo jamaa asije kuishi kwa nyumba yako, usije kumshushua kama aliyekuwa mume wako.

aiseeee,kumbe ilikuwa hivyo
 
Yaani haya mapenzi ni ya ajabu sana, kuna mtu nampenda sana ..kwakuwa anajua nampenda basi ndiyo ananinyanyasa kweli..

Nimekuwa mtu wa kulia tu...

Jana nimemkuta na msichana mwngine tena nahisi atakuwa bado mwanafunzi nikajifanya sijaona nikageuza haraka na kurudi home, nikijua atarudi home tuyaongee lkn mpaka hivi ninavyoandika hajarudi tangu tuonane ile Jana.

Nikipiga simu haipokelewi..nateseka sana jamani....msaada please ila mapenzi yanaumiza sana..
Nimejaribu kuvaa viatu vyako nimegundua jinsi gani unaumia. Moyo wako hauna amani kabsa muda huu. ILa kama una pakumpata huyo jamaa mtafute maana ndio pekee wakukupa amani kwa sasa. Usipompata utaumia kwa siku tano mfululizo ila kwa sasa fanya mpango umuone moyo utulie.
 
Yaani haya mapenzi ni ya ajabu sana, kuna mtu nampenda sana ..kwakuwa anajua nampenda basi ndiyo ananinyanyasa kweli..

Nimekuwa mtu wa kulia tu...

Jana nimemkuta na msichana mwngine tena nahisi atakuwa bado mwanafunzi nikajifanya sijaona nikageuza haraka na kurudi home, nikijua atarudi home tuyaongee lkn mpaka hivi ninavyoandika hajarudi tangu tuonane ile Jana.

Nikipiga simu haipokelewi..nateseka sana jamani....msaada please ila mapenzi yanaumiza sana..

The principle of conservation of love states that, "LOVE can neither be created nor destroyed but it can be shifted from one person to another" ikitumika vizuri hii kanuni vilio visivyo na msingi vitapungua sana sanaa...
 
Cheka sana, ila naheshimu sheria za jf.

bado akukule tena maana huyo jamaa anatafuta wenye bikra ndo maana anatafuta wanafunzi sasa wewe tegesha, kinachofuatwa unaliwa na ole wako mimba iingie, jiandae kuwa single maza kisha jamaa aone darasa la sita.

ndo ujue wanaume sio wa mchezo
Hata mm nashukuru hizi sheria za jf maana zinatulinda na mengi

Mtu huuliza njia wakati wa kwenda sikurudi.

Kwa utu uzima nilionao mimba haiwezi kuingia bila ridhaa yangu
 
Baada ya Yale masahibu yako ya aliyekuwa mume wako kumtafuna mdogo wako, kumpa ujauzito na hatimae kuachana, tayari umeanza mahusiano mapya eeh!!!

Pole sana, jamaa hakupendi, it's very simple, hakupendi, sijui kama wewe hulioni hilo au ni kengeza la mapenzi.

Halafu huyo jamaa asije kuishi kwa nyumba yako, usije kumshushua kama aliyekuwa mume wako.
Nilishaanza safar nyingine mkuu ingawa nahisi kukosea pakubwa
 
Back
Top Bottom