Kumpa mwanamke pesa ni kumdharau

Kumpa mwanamke pesa ni kumdharau

Aisee una demand vitu vingi sana kutoka Kwa binadamu mwenzio,ye mwenyewe hawezi kujifanyia yote hayo ataweza kukufanyia wewe?
Ndio maana nakwambia muhesabu visa haliwezi penzi,ukianza kusema mbona hanifulii,mbona hanisafishii geto mbona mbona hizo zikiwa nyingi,hamna penzi hapo...
Tutafanya vilivyo ndani ya uwezo wetu
Ina maana wewe hujipikii kila siku unakula mgahawani?, gheto lako husafishi? hujifulii?, Kuniheshimu na kupenda ndugu zangu nayo ni kazi???? nimekua katika familia ambayo baba ni provider na mama ni stay at home mom, na nliokwambia yanawezekana 100%

Dada Joannah upo serious na ulichoniambia?? kama upo serious basi wewe kwenye ndoa ni BOSHENI PRO MAX, kwa hiyo mumeo aajiri housegirl, wanaume wangapi Tanzania mishahara yao inaweza ajiri house help? Nakutosheleza kipesa naku-treat vizuri, huendi kazini, from morning to jioni unashinda nyumbani, lakini kazi za nyumbani kufanya pia Kwa mustakabali wa mumeo na watoto pia hutaki

Wakulungwa, kama wanawake wenyewe ndio hawa, tuna hasara aisee, au usikute huyu ni slay queen wa tiktok..loooh dronedrake DeepPond Extrovert mshamba_hachekwi Mzee wa kupambania nionyesheni choo kilipo nikajambe ili nipunguze izi hasira
 
😄 Hahah ukiona haupewi hela ujue hujiongezi. Ongeza ufundi wa hubani utashangaa muhuni kauza nyumba ya urithi mnagawana hela 🤣🤣🤣
Siku hz wanaume ni selfish sana unaweza maliza ufundi wako wote mwisho akamalizia na atakayekuoa atafaidi sana....kisa tu wanaona zile huduma unazompa wanahisi kwamba unapalilia ndoa kumbe maskini ya Mungu hata hauwazi hiyo kitu
 
Kipengele kikubwa sana
Ina maana wewe hujipikii kila siku unakula mgahawani?, gheto lako husafishi? hujifulii?, Kuniheshimu na kupenda ndugu zangu nayo ni kazi???? nimekua katika familia ambayo baba ni provider na mama ni stay at home mom, na nliokwambia yanawezekana 100%

Dada Joannah upo serious na ulichoniambia?? kama upo serious basi wewe kwenye ndoa ni BOSHENI PRO MAX, kwa hiyo mumeo aajiri housegirl, wanaume wangapi Tanzania mishahara yao inaweza ajiri house help? Nakutosheleza kipesa naku-treat vizuri, huendi kazini, from morning to jioni unashinda nyumbani, lakini kazi za nyumbani kufanya pia Kwa mustakabali wa mumeo na watoto pia hutaki

Wakulungwa, kama wanawake wenyewe ndio hawa, tuna hasara aisee, au usikute huyu ni slay queen wa tiktok..loooh dronedrake DeepPond Extrovert mshamba_hachekwi Mzee wa kupambania nionyesheni choo kilipo nikajambe ili nipunguze izi hasira
 
Siku hz wanaume ni selfish sana unaweza maliza ufundi wako wote mwisho akamalizia na atakayekuoa atafaidi sana....kisa tu wanaona zile huduma unazompa wanahisi kwamba unapalilia ndoa kumbe maskini ya Mungu hata hauwazi hiyo kitu
🤣 Dah kwahio ufundi ni kitu cha kutunyima jamani. Hebu achen uchoyo bana.
 
Ndo maana tunataka nipe nikupe
Ukiwa mtoaji we mwenyewe utaona tu demu atavyoshuhulika...utaogeshwa,utakatwa kucha,utafuliwa yaani utapewa hadi vya sirini na vya bakulini
lakini kama unampenda mtu si unatoa tu bila kutegemea chochote😅
 
Ina maana wewe hujipikii kila siku unakula mgahawani?, gheto lako husafishi? hujifulii?, Kuniheshimu na kupenda ndugu zangu nayo ni kazi???? nimekua katika familia ambayo baba ni provider na mama ni stay at home mom, na nliokwambia yanawezekana 100%

Dada Joannah upo serious na ulichoniambia?? kama upo serious basi wewe kwenye ndoa ni BOSHENI PRO MAX, kwa hiyo mumeo aajiri housegirl, wanaume wangapi Tanzania mishahara yao inaweza ajiri house help? Nakutosheleza kipesa naku-treat vizuri, huendi kazini, from morning to jioni unashinda nyumbani, lakini kazi za nyumbani kufanya pia Kwa mustakabali wa mumeo na watoto pia hutaki

Wakulungwa, kama wanawake wenyewe ndio hawa, tuna hasara aisee, au usikute huyu ni slay queen wa tiktok..loooh dronedrake DeepPond Extrovert mshamba_hachekwi Mzee wa kupambania nionyesheni choo kilipo nikajambe ili nipunguze izi hasira
We aliyekwambia nashinda nyumbani nani?hebu tuanzie hapo kwanza....kama unaoa beki tatu sawa akufanyie hayo yote unless otherwise house girl sio discussion ni lazima
 
Mwanamke anayeheshimu maungo yake bila kubadilishana na oesa huyo ninamheshimu na kumwogopa.

Huyo hata utakosa umpe zawadi gani, lkn akina Mwasiti...kidogo tu utasikia...nikwambie kitu?
Sijasuka
Sijala
Sijui nini hapo hakuna kitu, ni walewale wauzaji kihanja
Baby nikwambie kitu🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom