Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 21,709
- 51,147
Wajinga sana🤣🤣Siku hz wanaume ni selfish sana unaweza maliza ufundi wako wote mwisho akamalizia na atakayekuoa atafaidi sana....kisa tu wanaona zile huduma unazompa wanahisi kwamba unapalilia ndoa kumbe maskini ya Mungu hata hauwazi hiyo kitu


