Kumpa mwanamke pesa ni kumdharau

Kumpa mwanamke pesa ni kumdharau

KISS 100

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2021
Posts
528
Reaction score
1,128
Salamu, pesa ni nzuri kwa mwanamke. Na ni vizuri kumtunza mwanamke. Kama mwanaume unatongoza kwa kuanza kutoa hela ili ukubaliwe hayo sio mapenzi ya kweli.

Mwanamke mnafahamiana leo na anaanza mizinga jua huyo hakupendi. Simaanishi msiwape, ila msome mwanamke umjue.
 
Salamu,Pesa ni nzuri kwa mwanamke.Na nivizuri kumtunza mwanamke.Kama mwanaume unatongoza kwa kuanza kutoa hela ili ukubaliwe hayo sio mapenzi ya kweli.
Mwanamke mnafahamiana Leo na anaanza mizinga jua huyo hakupendi.
Simaanishi msiwape,ila msome mwanamke umjue
Nimependa id yako@KISS 💯.Ingependeza zaidi ingekuwa "KISS ME"!Litamke polepole kwa kiswahili.I'm kidding!
 
Salamu,Pesa ni nzuri kwa mwanamke.Na nivizuri kumtunza mwanamke.Kama mwanaume unatongoza kwa kuanza kutoa hela ili ukubaliwe hayo sio mapenzi ya kweli.
Mwanamke mnafahamiana Leo na anaanza mizinga jua huyo hakupendi.
Simaanishi msiwape,ila msome mwanamke umjue

Sio mimi[emoji3][emoji3][emoji3]mimi nipe tu pesa wala haina shida tumia pesa kunisoma nasemaje tumia pesa kunijua[emoji28]
 
Salamu,Pesa ni nzuri kwa mwanamke. Na nivizuri kumtunza mwanamke. Kama mwanaume unatongoza kwa kuanza kutoa hela ili ukubaliwe hayo sio mapenzi ya kweli.

Mwanamke mnafahamiana Leo na anaanza mizinga jua huyo hakupendi. Simaanishi msiwape,ila msome mwanamke umjue
Mwanamke mnafahamiana Leo na anaanza mizinga jua huyo hakupendi..

Tatizo kilima kidogo tu mnapanda na gia kubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom