ni mapenzi tuu...
Nawapenda kweli wanaume watoaji...Nitamchum hadi achanganyikiwe...Hata kumvisha viatu ntamvisha
Shabbash...!! Bibie umenikosha wewe, ni hivyo tu basi yani. But I appreciate you........
ni mapenzi tuu...
Nawapenda kweli wanaume watoaji...Nitamchum hadi achanganyikiwe...Hata kumvisha viatu ntamvisha
Huwa nashindwa kuelewa mwanaume akimpa pesa mpenzi wake baadhi ya watu husema kamuhonga tu au inawezekana kuna kiasi fulani cha pesa ukimpa mwanamke inahesabika umempa kwa mapenzi yako tu na labda ikivuka kiasi fulani basi hapo itahesabika umemuhonga?
Nielewesheni wadau