Obugwa Izoba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2013
- 10,481
- 11,688
inategemea na dhamira ya anaetoa hela. Wengne wanatoa kwa ajili ya kuhonga na wengne kwa ajili mapenzi
ni jukumu lako
inategemea na dhamira ya anaetoa hela. Wengne wanatoa kwa ajili ya kuhonga na wengne kwa ajili mapenzi
Lakin majukumu si kusaidiana na si kutegemea upande mmoja?
Siku moja ulee watoto upike ubebe na mimba ili tusaidiane
Ni kuhongaaaaaaaaaaaaa....!!
Ukiwa na roho za kimaskin maskin ndo unawaza unachunwa kumbe wala mtu kataka tu msaada
Ahah na wewe siku moja unipokee kazi ya kubeba zege na kuchoma mkaa na tukifika kitandan natulia tu we ndio ushugulike mwanzo mwisho
Tunaongelea kama huyo unaempa ni mpenz wako na sio mtu baki
kwani hatubebi zege , hatuchomi mkaa tena tunafanya kuliko ninyi wakati mwingine tunamimba tunafanya kazi ngumu kwa kushindwa kuwa responsible..na tunawapandia juu nyie mmelala chini tunawafanya matusi .... wewe ujafanyiwa hivi na kujidai n style .. mpaka mmenogewa mnaanza kupandiwa na wanaume wenzenu
Huwa nashindwa kuelewa mwanaume akimpa pesa mpenzi wake baadhi ya watu husema kamuhonga tu au inawezekana kuna kiasi fulani cha pesa ukimpa mwanamke inahesabika umempa kwa mapenz yako tu na labda ikivuka kias fulan basi hapo itahesabika umemuhonga?...nieleweshen wadau
Na ninaemmaanisha ni mpenz wako wanaume wengine huwa wanahis wanachunwa wakiombwa hela
Sema hawabebi zege sio hatubebi zege we hilo zege umewahi hata kulibeba? Usiongelee nafs za watu then kuhusu kupandiwa hiyo ni hulka ya mtu sio wote...
Tegemea upinzani mkubwa kutoka kwa wadada hasa wale wapenda ofa
ni mapenzi tuu...
Nawapenda kweli wanaume watoaji...Nitamchum hadi achanganyikiwe...Hata kumvisha viatu ntamvisha
Tegemea upinzani mkubwa kutoka kwa wadada hasa wale wapenda ofa
Ndio maana nikasema inategemea na kiwango atakachoombwa mwanaume hawez akaombwa buku afu akadhan anachunwa
Wewe unahis kiwango cha mwisho ni kipi mwanaume akiombwa ahis anachunwa?