Hapo ndio na mimi najiuliza sipat jibu lakin nahis kuna kiwango flan
Hakuna bhana kiwango bhana by the way huwa ckubaliani nadhana ya kuchuna nikikupenda nikiwa siku na shida nitakuomba hela coz ninaplan na ww
Hapo ndio na mimi najiuliza sipat jibu lakin nahis kuna kiwango flan
Huwa nashindwa kuelewa mwanaume akimpa pesa mpenzi wake baadhi ya watu husema kamuhonga tu au inawezekana kuna kiasi fulani cha pesa ukimpa mwanamke inahesabika umempa kwa mapenz yako tu na labda ikivuka kias fulan basi hapo itahesabika umemuhonga?...nieleweshen wadau
Siyo kupenda ofa lazima unihudumie
We umepandiwa mara nyingi tu tena hata leo unaenda pandiwa....nibeba zege mkuu tena sana
Hakuna bhana kiwango bhana by the way huwa ckubaliani nadhana ya kuchuna nikikupenda nikiwa siku na shida nitakuomba hela coz ninaplan na ww
Ulazima wa kukuhudumia unatoka wapi? Labda iwe nilikupenda ukiwa mtoto yatima ambaye hajiwezi! Lakini kinyume na hapo kukupa hela ni mpaka nijisikie kufanya hvyo. Kwani wewe ulipenda mtu au pesa? Kama ni mtu inamaana hata bila ya hela anabakia kuwa mtu yuleyule. Kama ulifuata pesa itakuwa huna maana na mume wako anapaswa awe ATM mashine!
Kumpa mpenzi wako pesa,au zawadi yoyote ile ji jambo la kawaida kabisa kama wewe mwenyewe unafanya ukiwa na intention nzuri,ingawa wengine wanafanya hivyo pia kwa nia ya kuwahonga.
Mie naona neno kuhonga Lina tumiwa na wale wasokua wastarabu, ivi kweli mpenzi wako Ana shida ya kulipa kodi ya nyumba na wewe pia hapo hapo una kwenda kula nae Raha ukimsaidia kulipa kunaitwa kuhonga ? Au kumpa hela a kanunue perfume itakua umehonga? Apana umempa mpenzi wako na Kama uwezo upo tatizo liko wapi? Sema kuna wapambe wao sio zao wanaona mwanamme Rijali alokamilika anatoa hela kumpa mpenzi wake yani ji roho lake linaumajee! Utadhani anakusaidia kwenye 6 Kwa 6.....
Ulazima wa kukuhudumia unatoka wapi? Labda iwe nilikupenda ukiwa mtoto yatima ambaye hajiwezi! Lakini kinyume na hapo kukupa hela ni mpaka nijisikie kufanya hvyo. Kwani wewe ulipenda mtu au pesa? Kama ni mtu inamaana hata bila ya hela anabakia kuwa mtu yuleyule. Kama ulifuata pesa itakuwa huna maana na mume wako anapaswa awe ATM mashine!
Na mwanamke akikupa hela inakuaje?
Na mwanamke akikupa hela inakuaje?
Babuu eeh kama hutoi hela watatoa wengine
Watatoa in exchange for what?
Nakubaliana na wewe lakin endapo huyo mwanamke akaomba hela kama laki 2 bila kutoa sababu za msingi hatuwez kusema kahongwa?
REJEA HUKUMU YA MUNGU WAKATI ADAM NA EVE WALIPOJINAFASI TUNDA LA MTI WA KATI! Ndo utajua ni wajibu wa nani kufanya kazi, wa nani kuzaa kwa uchungu!
Huwa
nashindwa kuelewa mwanaume akimpa pesa mpenzi wake baadhi ya watu husema
kamuhonga tu au inawezekana kuna kiasi fulani cha pesa ukimpa mwanamke
inahesabika umempa kwa mapenzi yako tu na labda ikivuka kiasi fulani
basi hapo itahesabika umemuhonga?
Nielewesheni wadau