Kumnyima mume unyumba ni kumuua?

hhehe afya ya watoto lol....

kwahiyo kumbe mnaenda nje mnaogopa kufa
 
Nyamayao sasa likizo unampa ya siku ngapi? nakuona mkali wewe...

mhh mie sio mkali kihivyo noname, lakini napenda twende sawa, inategemeana na yeye atakavyoona/kubali kosa lake, nikupe mfano tu lim2 limetoka hme vizuri umeliandaa vizuri jioni linakujia na cjui lipstick kwenye shati, halafu tena nikae roho juu kusema ooha nikimbania ataenda nje...afike salama mpaka atakapojickia kunyoosha maelezo...huo ni mfano tu.
 
mwanamke cku hizi hutakiwi kulianzisha, unaharibu mazima yeye ndio alianzishe.......

Ni mbinu mpya ya kutaka talaka au? Yaani unamnyima halafu unaanza kumvizia na kumwekea wapelelezi ili umfumanie! Ingekuwa mie nikitendewa hivyo sitafanya kwa siri, na mtu akitaka kuishia aishie tu babake! Kama noma na iwe noma.
 
....watafute kitu unique sio hiyo inanunuliwa kwa kina hao Eliza kwa shs 5000...

Kwa kina Eliza unapata huduma nzuri kutokana na urefu wa kamba yako.
Alafu kule vile vile unapata huduma muhimu ambazo ww nyumbani katu hutoweza nipa ni sehemu 1 tu naweza pata.
Mambo ya express your self.
 
See!!! hao ndo wanaume sasa!!!!

sasa hapo ndo unajuta mara kumi elfu....OMG!!!!!!!! pole yake huyo dada!!! wenzio hiyo hata kwa mkopo kam sio bure wanapewa sasa!!!
 
Hahahaha unaona shem ni mpole sana ndo maana unamkalia mkichwa.
Mind you watu wapole ni wabaya wanaua kimya kimya na hugundui hivi una hausi geli hapo kwako?

hana upole wowote, ishu ni kwamba tumekutana vichaa wawili, bac maisha yanasonga.....
 
mwanamke cku hizi hutakiwi kulianzisha, unaharibu mazima yeye ndio alianzishe.......

Ni mbinu mpya ya kutaka talaka au? Yaani unamnyima halafu unaanza kumvizia na kumwekea wapelelezi ili umfumanie! Ingekuwa mie nikitendewa hivyo sitafanya kwa siri, na mtu akitaka kuishia aishie tu babake! Kama noma na iwe noma.
 
Tena hawa wanaojifanya wakali ndio wanaibiwa kinoma.

chris, cmchungi, cfungii nanilii yake kabatini asubuhi aondokapo...so kama kufanya labda anafanya na sisemi naibiwa na mtu bali yeye ndio ananiibia, na huko kuniibia cpajali mpaka nitakapomfuma.....yaani nikae niwaze naibiwa?...gosh nina mabo mengi ya kufanya sio kumwaza mtu na meno yake 32.....
 
hana upole wowote, ishu ni kwamba tumekutana vichaa wawili, bac maisha yanasonga.....

Kama ndo hivyo mnazidiana wewe ndo unaongoza umemfunika yeye.
Hujui kuwa mafahari wawili hawakai zizi moja!
 
Ni mbinu mpya ya kutaka talaka au? Yaani unamnyima halafu unaanza kumvizia na kumwekea wapelelezi ili umfumanie! Ingekuwa mie nikitendewa hivyo sitafanya kwa siri, na mtu akitaka kuishia aishie tu babake! Kama noma na iwe noma.

wapi pameongelewa kumwekea mtego, hu muda ninao bac...kuna njia/mambo mengi ya kujua rafu zinazoendelea.
 
Kama ndo hivyo mnazidiana wewe ndo unaongoza umemfunika yeye.
Hujui kuwa mafahari wawili hawakai zizi moja!

haaa huyu kichaa wangu nikimpa bht leo kesho asubuhi atamrudisha, tunawezana wenyewe na ndio mana tupo mpaka leo hii mapenzi yapo na cku zinasonga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…