Kumlinganisha Odinga na Lowassa si sawa, Naweka kumbukumbu sahihi

Kumekuwa na upotoshwaji wa baadhi ya watu kumlinganisha Lowassa na Odinga ambaye ni mwanasiasa mwandamizi nchini Kenya.

Raila Odinga ni mtoto wa mwanasiasa,mfanyabiashara na makamu wa kwanza wa Raisi Kenya Mzee Jaramongi Odinga wakati Edward Lowassa ni mtoto wa tarishi wa mahakama ya serikali ya kikoloni na baadaye Tanganyika kabla ya kustaafi mwaka 1975 aliyehamia Monduli toka Usariva,hakuwahi kuwa mfugaji.

Raila Odinga ni mwanasiasa wa upinzani kwani baada ya Kenya kuanzisha vyama vingi alijiondoa Kanu ambapo mwaka 1992 Babake aligombea uraisi huku yeye akishinda ubunge huko Siaya kwa tiketi ya upinzani.Edward Lowassa hajawahi kuwa mpinzani kwani alibaki CCM na amekuwa mbunge wa CCM na hataweza kushika nafasi yoyote ya kisiasa nje ya CCM.Alijiunga na upinzani kugombea uraisi tu,ni kama mchezaji wa ndondo.

Raila Odinga ni mwanasiasa mwenye hoja wakati Lowassa ni mwanamaigizo mwenye kutegemea mazingaombwe,unabii,ramli ili kuonyesha jamii anaushawishi,hutegemea pete na muelekeo wa nyota kama mvuto.

Kielimu Raila ni Mhandisi aliyepata shahada yake huko Ujerumani Lowassa anamiliki shahada ya sanaa za maigizo aliyopata UDSM kitengo cha "Fine and Performing Art" (FPA).

Raila Odinga ni Waziri Mkuu mstafu wa Kenya aliyetumikia nchi miaka mitano bila kashfa na kumaliza kwa heshima huku Lowassa ni waziri mkuu aliyekimbia kufukuzwa kazi na wabunge kwa wizi wa mchana.

Haya ni machache yanayowatofautisha Odinga na Lowassa ambayo kimsingi yanaweka msingi wenye lengo la kuondoa upotoshaji uliowekwa mitandaoni.
Hivi wewe Lowasa amekufanya nini? Yaani kwa siku moja uko tayari kuanzisha hata mada tatu za kumpondea. Hivi huoni hata aibu? Yaani huyu Lowasa yeye ana mabaya tu na hana zuri hata moja? Ebu jaribu kuwa na ubinadamu kidogo. Siasa isikufanye kuweka pembeni ubinadamu.
 
Mpaka hapa huwezi kuwafananisha hawafanani labda mfanye Kutetea tu ufisadi
Hujui unachobishania isipokuwa mihemuko yako ya kisiasa which intellectually speaking is utter nonsense! Bs
 
Hivi wewe Lowasa amekufanya nini? Yaani kwa siku moja uko tayari kuanzisha hata mada tatu za kumpondea. Hivi huoni hata aibu? Yaani huyu Lowasa yeye ana mabaya tu na hana zuri hata moja? Ebu jaribu kuwa na ubinadamu kidogo. Siasa isikufanye kuweka pembeni ubinadamu.
Yaweke hayo mazuri mkuu tuchangie.Hapa sijaweka mabaya ya mtu bali niweka tofauti tu.
 
Kwa kitu gani hasa. Labda kwa kashfa kashfa tuu.
Mwulize mleta uzi. Atakuwa na maelezo.
Kashfa zipi ambazo serikali imeshindwa kumfikisha mahakamani!
Nitajie kiongozi katika serikali ya Magufuli aliye msafi asiye na kashfa.
 
Kumekuwa na upotoshwaji wa baadhi ya watu kumlinganisha Lowassa na Odinga ambaye ni mwanasiasa mwandamizi nchini Kenya.

Raila Odinga ni mtoto wa mwanasiasa,mfanyabiashara na makamu wa kwanza wa Raisi Kenya Mzee Jaramongi Odinga wakati Edward Lowassa ni mtoto wa tarishi wa mahakama ya serikali ya kikoloni na baadaye Tanganyika kabla ya kustaafi mwaka 1975 aliyehamia Monduli toka Usariva,hakuwahi kuwa mfugaji.

Raila Odinga ni mwanasiasa wa upinzani kwani baada ya Kenya kuanzisha vyama vingi alijiondoa Kanu ambapo mwaka 1992 Babake aligombea uraisi huku yeye akishinda ubunge huko Siaya kwa tiketi ya upinzani.Edward Lowassa hajawahi kuwa mpinzani kwani alibaki CCM na amekuwa mbunge wa CCM na hataweza kushika nafasi yoyote ya kisiasa nje ya CCM.Alijiunga na upinzani kugombea uraisi tu,ni kama mchezaji wa ndondo.

Raila Odinga ni mwanasiasa mwenye hoja wakati Lowassa ni mwanamaigizo mwenye kutegemea mazingaombwe,unabii,ramli ili kuonyesha jamii anaushawishi,hutegemea pete na muelekeo wa nyota kama mvuto.

Kielimu Raila ni Mhandisi aliyepata shahada yake huko Ujerumani Lowassa anamiliki shahada ya sanaa za maigizo aliyopata UDSM kitengo cha "Fine and Performing Art" (FPA).

Raila Odinga ni Waziri Mkuu mstafu wa Kenya aliyetumikia nchi miaka mitano bila kashfa na kumaliza kwa heshima huku Lowassa ni waziri mkuu aliyekimbia kufukuzwa kazi na wabunge kwa wizi wa mchana.

Haya ni machache yanayowatofautisha Odinga na Lowassa ambayo kimsingi yanaweka msingi wenye lengo la kuondoa upotoshaji uliowekwa mitandaoni.

Siku nyingine unapofanya utofaut wa kitu usiegemee upande. Utapoteza maana
 
  • Thanks
Reactions: MTK
Sheria za umiliki wa Gun Tanzania ungekuwa ni kama kumiliki panga siamini kama mleta thread angekuwa hai hadi mda huu
 
Kumekuwa na upotoshwaji wa baadhi ya watu kumlinganisha Lowassa na Odinga ambaye ni mwanasiasa mwandamizi nchini Kenya.

Raila Odinga ni mtoto wa mwanasiasa,mfanyabiashara na makamu wa kwanza wa Raisi Kenya Mzee Jaramongi Odinga wakati Edward Lowassa ni mtoto wa tarishi wa mahakama ya serikali ya kikoloni na baadaye Tanganyika kabla ya kustaafi mwaka 1975 aliyehamia Monduli toka Usariva,hakuwahi kuwa mfugaji.

Raila Odinga ni mwanasiasa wa upinzani kwani baada ya Kenya kuanzisha vyama vingi alijiondoa Kanu ambapo mwaka 1992 Babake aligombea uraisi huku yeye akishinda ubunge huko Siaya kwa tiketi ya upinzani.Edward Lowassa hajawahi kuwa mpinzani kwani alibaki CCM na amekuwa mbunge wa CCM na hataweza kushika nafasi yoyote ya kisiasa nje ya CCM.Alijiunga na upinzani kugombea uraisi tu,ni kama mchezaji wa ndondo.

Raila Odinga ni mwanasiasa mwenye hoja wakati Lowassa ni mwanamaigizo mwenye kutegemea mazingaombwe,unabii,ramli ili kuonyesha jamii anaushawishi,hutegemea pete na muelekeo wa nyota kama mvuto.

Kielimu Raila ni Mhandisi aliyepata shahada yake huko Ujerumani Lowassa anamiliki shahada ya sanaa za maigizo aliyopata UDSM kitengo cha "Fine and Performing Art" (FPA).

Raila Odinga ni Waziri Mkuu mstafu wa Kenya aliyetumikia nchi miaka mitano bila kashfa na kumaliza kwa heshima huku Lowassa ni waziri mkuu aliyekimbia kufukuzwa kazi na wabunge kwa wizi wa mchana.

Haya ni machache yanayowatofautisha Odinga na Lowassa ambayo kimsingi yanaweka msingi wenye lengo la kuondoa upotoshaji uliowekwa mitandaoni.
ACHA KUMFANANISHA LOWASA NA VITU VYA KIJINGA
 
Kufanana sio lazima Uwe kama photocopy au identical twins; kwa mfano 1: wamekuwa wabunge wa muda mrefu sana wa majimbo yao; RAO (LANG'ATA NAIROBI) na EL (MONDULI ARUSHA) 2: wameshika wadhifa wa uwaziri Katika nchi zao 3: wamekuwa mawaziri wakuu katika nchi zao respectively na 4: Hakuna ubishi kwamba RAO na EL ndio wanasiasa wa siasa mbadala (upinzani ukipenda!) kabla na baada; wenye mguso mkubwa zaidi (de facto opposition leaders) katika nchi zao kuliko mwanasiasa mwingine yoyote Kenya na Tanzania respectively!
Ni kweli uliyoyasema lakini Tofauti zao kimtazamo na kimaadili ni za msingi na kubwa sana kuliko kufanana kwao. Maana kama lengo ni kuonesha kufanana waweza pia sema wote ni waafrika, wote wamesoma hadi chuo kikuu, wote wameoa, wote wana watoto nk,nk,nk.
 
  • Thanks
Reactions: MTK
Mwulize mleta uzi. Atakuwa na maelezo.
Kashfa zipi ambazo serikali imeshindwa kumfikisha mahakamani!
Nitajie kiongozi katika serikali ya Magufuli aliye msafi asiye na kashfa.
Mkuu jikite kwenye hoja yenye kutoutisha.
 
Ni kweli uliyoyasema lakini Tofauti zao kimtazamo na kimaadili ni za msingi na kubwa sana kuliko kufanana kwao. Maana kama lengo ni kuonesha kufanana waweza pia sema wote ni waafrika, wote wamesoma hadi chuo kikuu, wote wameoa, wote wana watoto nk,nk,nk.
Umenena vema mkuu.
 
Rejea ufafanuzi wa mleta mada utaelewa maana yangu, mimi nasema tunahitaji kuweka vigezo vya kufanana, kuhusu nini hasa maana tukiingiza mihemuko ya kiitikadi tunakosea sana!
 
Back
Top Bottom