Kumlinganisha Odinga na Lowassa si sawa, Naweka kumbukumbu sahihi

Hakuna nilipomoonda mtu.Nashukuru umeongeza hilo la waziri wa maji.
Lowasa ana uzoefu mkubwa na Mambo ya serikali uzoefu alioupata akiwa CCM wakati Odinga hana uzoefu sana wa kuwa kiongozi wa serikali ila ana uzoefu mkubwa wa kuwa mlinzani
 
Kumekuwa na upotoshwaji wa baadhi ya watu kumlinganisha Lowassa na Odinga ambaye ni mwanasiasa mwandamizi nchini Kenya.

Raila Odinga ni mtoto wa mwanasiasa,mfanyabiashara na makamu wa kwanza wa Raisi Kenya Mzee Jaramongi Odinga wakati Edward Lowassa ni mtoto wa tarishi wa mahakama ya serikali ya kikoloni na baadaye Tanganyika kabla ya kustaafi mwaka 1975 aliyehamia Monduli toka Usariva,hakuwahi kuwa mfugaji.

Raila Odinga ni mwanasiasa wa upinzani kwani baada ya Kenya kuanzisha vyama vingi alijiondoa Kanu ambapo mwaka 1992 Babake aligombea uraisi huku yeye akishinda ubunge huko Siaya kwa tiketi ya upinzani.Edward Lowassa hajawahi kuwa mpinzani kwani alibaki CCM na amekuwa mbunge wa CCM na hataweza kushika nafasi yoyote ya kisiasa nje ya CCM.Alijiunga na upinzani kugombea uraisi tu,ni kama mchezaji wa ndondo.

Raila Odinga ni mwanasiasa mwenye hoja wakati Lowassa ni mwanamaigizo mwenye kutegemea mazingaombwe,unabii,ramli ili kuonyesha jamii anaushawishi,hutegemea pete na muelekeo wa nyota kama mvuto.

Kielimu Raila ni Mhandisi aliyepata shahada yake huko Ujerumani Lowassa anamiliki shahada ya sanaa za maigizo aliyopata UDSM kitengo cha "Fine and Performing Art" (FPA).

Raila Odinga ni Waziri Mkuu mstafu wa Kenya aliyetumikia nchi miaka mitano bila kashfa na kumaliza kwa heshima huku Lowassa ni waziri mkuu aliyekimbia kufukuzwa kazi na wabunge kwa wizi wa mchana.

Haya ni machache yanayowatofautisha Odinga na Lowassa ambayo kimsingi yanaweka msingi wenye lengo la kuondoa upotoshaji uliowekwa mitandaoni.
Kuna ule uwimbo wa Christina Shushu. .NIPE MACHO NIONE. ....
 
Lowassa si kiongozi wa upinzani bali ni mgombea uraisi tu yaani "mchezaji wa ndondo"....hakwenda upinzani sababu anataka bali kugombea uraisi RAO alienda upinzani wakati nchi imeingia kwenye vyama vingi hata kuacha ulaji kuunda upinzani uliokuwa mchanga.
Kwa Hiyo Raila wanafanana na Mrema?
 
Lowasa ana uzoefu mkubwa na Mambo ya serikali uzoefu alioupata akiwa CCM wakati Odinga hana uzoefu sana wa kuwa kiongozi wa serikali ila ana uzoefu mkubwa wa kuwa mlinzani
Lowasa ana uzoefu mkubwa na Mambo ya serikali uzoefu alioupata akiwa CCM wakati Odinga hana uzoefu sana wa kuwa kiongozi wa serikali ila ana uzoefu mkubwa wa kuwa mlinzani
Mkuu Odinga alifanya kazi ya siasa na ubunge tokea miaka ya sabini,Lowassa ameanza ubunge mwaka 1990 akiwakilisha vijana kabla ya kugombea jimboni mwaka 1995.Odinga amekuwa mfanyabiashara na babake kabla ya uhuru wa Kenya EL kapata mtaji kwenye siasa.
 
Mbona hukujitokeza kupinga Jk dr,na prf,wa kichina huna jipya Lowassa kawatesa ndo maanda mtukufu anashindwa kubanduka Magogoni.
 
Kwa mantiki hiyo hakuna anayefanana na mwingine dunia hii!Kama unabisha mtaje halafu mimi nije na tofauti!
Nways naona lengo lako ni kumponda lowassa!Mbona hujatoa tofauti ya kuwa lowassa aliwahi kuwa waziri wa maji na kwa miaka mingi huku Raila hajawahi!
Na huko kwenye maji alipiga 300usd
 
nimesoma mistari miwili tu nkagundua ni blah blah zilizo jaa chuki, wivu, woga na roho mbayaaa kwa OUR DARLING ENL
 
Kumekuwa na upotoshwaji wa baadhi ya watu kumlinganisha Lowassa na Odinga ambaye ni mwanasiasa mwandamizi nchini Kenya.

Raila Odinga ni mtoto wa mwanasiasa,mfanyabiashara na makamu wa kwanza wa Raisi Kenya Mzee Jaramongi Odinga wakati Edward Lowassa ni mtoto wa tarishi wa mahakama ya serikali ya kikoloni na baadaye Tanganyika kabla ya kustaafi mwaka 1975 aliyehamia Monduli toka Usariva,hakuwahi kuwa mfugaji.

Raila Odinga ni mwanasiasa wa upinzani kwani baada ya Kenya kuanzisha vyama vingi alijiondoa Kanu ambapo mwaka 1992 Babake aligombea uraisi huku yeye akishinda ubunge huko Siaya kwa tiketi ya upinzani.Edward Lowassa hajawahi kuwa mpinzani kwani alibaki CCM na amekuwa mbunge wa CCM na hataweza kushika nafasi yoyote ya kisiasa nje ya CCM.Alijiunga na upinzani kugombea uraisi tu,ni kama mchezaji wa ndondo.

Raila Odinga ni mwanasiasa mwenye hoja wakati Lowassa ni mwanamaigizo mwenye kutegemea mazingaombwe,unabii,ramli ili kuonyesha jamii anaushawishi,hutegemea pete na muelekeo wa nyota kama mvuto.

Kielimu Raila ni Mhandisi aliyepata shahada yake huko Ujerumani Lowassa anamiliki shahada ya sanaa za maigizo aliyopata UDSM kitengo cha "Fine and Performing Art" (FPA).

Raila Odinga ni Waziri Mkuu mstafu wa Kenya aliyetumikia nchi miaka mitano bila kashfa na kumaliza kwa heshima huku Lowassa ni waziri mkuu aliyekimbia kufukuzwa kazi na wabunge kwa wizi wa mchana.

Haya ni machache yanayowatofautisha Odinga na Lowassa ambayo kimsingi yanaweka msingi wenye lengo la kuondoa upotoshaji uliowekwa mitandaoni.
Pole kwa povu lililokutoka Haya nenda kapewe buku tatu sasa Lumumba,siku hizi dau limeshuka maisha magumu buku saba hupati.
 
Hongera kwa kufutilia malipo ya Lumumba,ila nafurahi ukweli umeupata.

[HASHTAG]#mbowemletebenakiwahai[/HASHTAG].
 
Inawezekana hukuelewa context ya kuwafananisha RAO na EL! Labda wewe ulitaka wafanane mpaka vinasaba (DNA); Duh!!!
Mpaka hapa huwezi kuwafananisha hawafanani labda mfanye Kutetea tu ufisadi
 
Kumekuwa na upotoshwaji wa baadhi ya watu kumlinganisha Lowassa na Odinga ambaye ni mwanasiasa mwandamizi nchini Kenya.

Raila Odinga ni mtoto wa mwanasiasa,mfanyabiashara na makamu wa kwanza wa Raisi Kenya Mzee Jaramongi Odinga wakati Edward Lowassa ni mtoto wa tarishi wa mahakama ya serikali ya kikoloni na baadaye Tanganyika kabla ya kustaafi mwaka 1975 aliyehamia Monduli toka Usariva,hakuwahi kuwa mfugaji.

Raila Odinga ni mwanasiasa wa upinzani kwani baada ya Kenya kuanzisha vyama vingi alijiondoa Kanu ambapo mwaka 1992 Babake aligombea uraisi huku yeye akishinda ubunge huko Siaya kwa tiketi ya upinzani.Edward Lowassa hajawahi kuwa mpinzani kwani alibaki CCM na amekuwa mbunge wa CCM na hataweza kushika nafasi yoyote ya kisiasa nje ya CCM.Alijiunga na upinzani kugombea uraisi tu,ni kama mchezaji wa ndondo.

Raila Odinga ni mwanasiasa mwenye hoja wakati Lowassa ni mwanamaigizo mwenye kutegemea mazingaombwe,unabii,ramli ili kuonyesha jamii anaushawishi,hutegemea pete na muelekeo wa nyota kama mvuto.

Kielimu Raila ni Mhandisi aliyepata shahada yake huko Ujerumani Lowassa anamiliki shahada ya sanaa za maigizo aliyopata UDSM kitengo cha "Fine and Performing Art" (FPA).

Raila Odinga ni Waziri Mkuu mstafu wa Kenya aliyetumikia nchi miaka mitano bila kashfa na kumaliza kwa heshima huku Lowassa ni waziri mkuu aliyekimbia kufukuzwa kazi na wabunge kwa wizi wa mchana.

Haya ni machache yanayowatofautisha Odinga na Lowassa ambayo kimsingi yanaweka msingi wenye lengo la kuondoa upotoshaji uliowekwa mitandaoni.
shikamoo baba nimependa tofauti zako huwezi kuwa Rais kwa kupiga ramli bana.
 
Back
Top Bottom