Kumlinganisha Odinga na Lowassa si sawa, Naweka kumbukumbu sahihi

Kumekuwa na upotoshwaji wa baadhi ya watu kumlinganisha Lowassa na Odinga ambaye ni mwanasiasa mwandamizi nchini Kenya.

Raila Odinga ni mtoto wa mwanasiasa,mfanyabiashara na makamu wa kwanza wa Raisi Kenya Mzee Jaramongi Odinga wakati Edward Lowassa ni mtoto wa tarishi wa mahakama ya serikali ya kikoloni na baadaye Tanganyika kabla ya kustaafi mwaka 1975 aliyehamia Monduli toka Usariva,hakuwahi kuwa mfugaji.

Raila Odinga ni mwanasiasa wa upinzani kwani baada ya Kenya kuanzisha vyama vingi alijiondoa Kanu ambapo mwaka 1992 Babake aligombea uraisi huku yeye akishinda ubunge huko Siaya kwa tiketi ya upinzani.Edward Lowassa hajawahi kuwa mpinzani kwani alibaki CCM na amekuwa mbunge wa CCM na hataweza kushika nafasi yoyote ya kisiasa nje ya CCM.Alijiunga na upinzani kugombea uraisi tu,ni kama mchezaji wa ndondo.

Raila Odinga ni mwanasiasa mwenye hoja wakati Lowassa ni mwanamaigizo mwenye kutegemea mazingaombwe,unabii,ramli ili kuonyesha jamii anaushawishi,hutegemea pete na muelekeo wa nyota kama mvuto.

Kielimu Raila ni Mhandisi aliyepata shahada yake huko Ujerumani Lowassa anamiliki shahada ya sanaa za maigizo aliyopata UDSM kitengo cha "Fine and Performing Art" (FPA).

Raila Odinga ni Waziri Mkuu mstafu wa Kenya aliyetumikia nchi miaka mitano bila kashfa na kumaliza kwa heshima huku Lowassa ni waziri mkuu aliyekimbia kufukuzwa kazi na wabunge kwa wizi wa mchana.

Haya ni machache yanayowatofautisha Odinga na Lowassa ambayo kimsingi yanaweka msingi wenye lengo la kuondoa upotoshaji uliowekwa mitandaoni.
Ww habari zako kila cku ni za kumdhihaki lowasa na cdm,hunaga stori zingine zenye maana?
 
Nime"specialize" huko.
Stori zako hazinaga maana,ni za kuzipuuza tu.unaleta stori za kufikirika zisizo halisi,hapa sio kijiweni.
Use ur brain effectively sio kua na chuki kwa watu,chuki zitakuua hizo!!...
 
Ni matumaini yangu ubongo wako umeshiba kwa chakula nilichoweka hapa jamvini.Karibu.
Ni kiporo kilicho chacha, ni hatari kwa afya ya watumiaji. Fanya tafiti kabla ya kuleta hoja Muhishimiwa mbunge. Ni aibu kwa nafasi yako kuandika kama mtu asiye na anuani maalum au utulivu wa akili. Jenga hoja fikirishi ili uwe tofauti na wale vijana walioko pale Lumumba wakibeba mikoba ya wazee.
Kaza buti kwa hoja nzito ili watu wafikirie kukupa jimbo badala ya uteuzi. Jifunze kwa wenzako kina Halima, Ester na Mabula wa Ilemela. Hiyo tabia ya kijungujiko haijengi historia njema ya mtu bali kumdhalilisha mtu kwenye uhalisia.
Ni ushauri tuu binti yangu. Una nyota ila hujui kuitumia, hebu ona pamoja na uwezo wako mdogo kiuelewa lakini unafahamika jina lako miongoni mwa wengi hadi kupewa nafasi. Lakini kutumia nguvu nyingi kudhani jina la Lowassa litakutoa ukilishambulia unakosea sana. Ulipokuwa unatumia true ID yako ulimshambulia sana Mbowe na haikukusaidia zaidi ya kuona unajenga uadui ambao mwishoe unasimama peke yako kujilinda huku chama kikikaa pembeni. Hata hili halitakusaidia kwani wengi wamejua Wakudadavuwa ni nani na kwa nini analojukwaa la kusemea bila kubughuziwa anakuja na ID fake kushambulia mtu mmoja mmoja? Mbona hata taahira kama Goodluck Mlinga analitumia jukwaa lake bila hofu?
Change mutoto!
 
Stori zako hazinaga maana,ni za kuzipuuza tu.unaleta stori za kufikirika zisizo halisi,hapa sio kijiweni.
Use ur brain effectively sio kua na chuki kwa watu,chuki zitakuua hizo!!...
Ndio maana umezipuuza kwa kuchangia?..kweli malofa hawataisha.
 
Ni kiporo kilicho chacha, ni hatari kwa afya ya watumiaji. Fanya tafiti kabla ya kuleta hoja Muhishimiwa mbunge. Ni aibu kwa nafasi yako kuandika kama mtu asiye na anuani maalum au utulivu wa akili. Jenga hoja fikirishi ili uwe tofauti na wale vijana walioko pale Lumumba wakibeba mikoba ya wazee.
Kaza buti kwa hoja nzito ili watu wafikirie kukupa jimbo badala ya uteuzi. Jifunze kwa wenzako kina Halima, Ester na Mabula wa Ilemela. Hiyo tabia ya kijungujiko haijengi historia njema ya mtu bali kumdhalilisha mtu kwenye uhalisia.
Ni ushauri tuu binti yangu. Una nyota ila hujui kuitumia, hebu ona pamoja na uwezo wako mdogo kiuelewa lakini unafahamika jina lako miongoni mwa wengi hadi kupewa nafasi. Lakini kutumia nguvu nyingi kudhani jina la Lowassa litakutoa ukilishambulia unakosea sana. Ulipokuwa unatumia true ID yako ulimshambulia sana Mbowe na haikukusaidia zaidi ya kuona unajenga uadui ambao mwishoe unasimama peke yako kujilinda huku chama kikikaa pembeni. Hata hili halitakusaidia kwani wengi wamejua Wakudadavuwa ni nani na kwa nini analojukwaa la kusemea bila kubughuziwa anakuja na ID fake kushambulia mtu mmoja mmoja? Mbona hata taahira kama Goodluck Mlinga analitumia jukwaa lake bila hofu?
Change mutoto!
[HASHTAG]#mbowemletebenakiwahai[/HASHTAG].
 
Uzi upo cha ajabu huonekani huonekani kule, kwanini tusijadili vitu vinavyomuumiza mtanzania wa hali ya chini tunajadili watu ambao hawamuumizi mtz?

ukaona umfuate huku sasa!!

unampenda hivyo!
 
ha ha ha

mbowe kawasababishia stress kwa kweli

hamkudhania inakuja zama kama hizi...ambapo watu wanajiuliza, wanauliza na wanakebehi

kuwa mpole

EL ni mwizi.
Hawakujua kuna hatari kubwa kuhamishia kinyesi chumbani sasa wanaziba pua.

[HASHTAG]#mbowemletebenakiwahai[/HASHTAG]
 
Kumekuwa na upotoshwaji wa baadhi ya watu kumlinganisha Lowassa na Odinga ambaye ni mwanasiasa mwandamizi nchini Kenya.

Raila Odinga ni mtoto wa mwanasiasa,mfanyabiashara na makamu wa kwanza wa Raisi Kenya Mzee Jaramongi Odinga wakati Edward Lowassa ni mtoto wa tarishi wa mahakama ya serikali ya kikoloni na baadaye Tanganyika kabla ya kustaafi mwaka 1975 aliyehamia Monduli toka Usariva,hakuwahi kuwa mfugaji.

Raila Odinga ni mwanasiasa wa upinzani kwani baada ya Kenya kuanzisha vyama vingi alijiondoa Kanu ambapo mwaka 1992 Babake aligombea uraisi huku yeye akishinda ubunge huko Siaya kwa tiketi ya upinzani.Edward Lowassa hajawahi kuwa mpinzani kwani alibaki CCM na amekuwa mbunge wa CCM na hataweza kushika nafasi yoyote ya kisiasa nje ya CCM.Alijiunga na upinzani kugombea uraisi tu,ni kama mchezaji wa ndondo.

Raila Odinga ni mwanasiasa mwenye hoja wakati Lowassa ni mwanamaigizo mwenye kutegemea mazingaombwe,unabii,ramli ili kuonyesha jamii anaushawishi,hutegemea pete na muelekeo wa nyota kama mvuto.

Kielimu Raila ni Mhandisi aliyepata shahada yake huko Ujerumani Lowassa anamiliki shahada ya sanaa za maigizo aliyopata UDSM kitengo cha "Fine and Performing Art" (FPA).

Raila Odinga ni Waziri Mkuu mstafu wa Kenya aliyetumikia nchi miaka mitano bila kashfa na kumaliza kwa heshima huku Lowassa ni waziri mkuu aliyekimbia kufukuzwa kazi na wabunge kwa wizi wa mchana.

Haya ni machache yanayowatofautisha Odinga na Lowassa ambayo kimsingi yanaweka msingi wenye lengo la kuondoa upotoshaji uliowekwa mitandaoni.
Wakudadavua hapo ndio nakupendaga. Huwaga unanyoosha maelezo bila chenga. Bila kupepesa macho. Haya ngoja wenzangu waje kukutukana.
 
Mkuu wangu nimeona ni vema nimalize mwaka kwa kupinga upotoshaji.

Back
Top Bottom