Mnajuaga kusifu msiowajua na kuponda mnaowajua (wakwenu) ndomaana kunawanaoolewa ulaya baadae vinawashinda. Ukimfananisha lowassa usitaje vyeo eleza uwezo mf. Kupigana uganda,kupigania maji ziwa victoria,kupigania shule za kata,kujijenga kiuchumi bila kesi ya rushwa mahakama yoyote,kusisitiza utendaji mpaka maadui kumtengenezea kashfa,kuvumilia na kujiuzulu kwa kuzushiwa,kumtetemesha mtuk...mpaka kumzuia asifanye siasa,kuwaimbisha wanaccm kuwa wanaimani nae,kuvumilia kurazake kunanihiwa...nk. Sasa leta sifa za huyo ojnga ukianza na maandamano na matus