Je, eda ya Samia kuzua mgogoro wa kikatiba?

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
374,409
Reaction score
867,083
Bila shaka huu ni mjadala wa kikatiba zaidi na wala sio mjadala wa kiitifaki. Je, katiba inatoa masharti gani na urefu gani kuhusu likizo za Rais? Je, katiba inasemaje juu ya eda ya Rais?

Lakini kwa nini Urais wakaimishwe watu wawili badala ya mmoja kama inavyotaka katiba kuwa huyo aliyekaimishwa kama naye hayupo basi atakaimu wa chini yake? Hii ya kuwakaimisha watu wawili kwa wakati mmoja inaelekezwa na matakwa ya kifungu gani cha katiba?
Je, nini kimekushangaza? Je, nini maoni yako?

Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
Itunge, Dar es Salaam; 8 Septemba 2026; Saa 5:40 jioni.

Waione mawakili: Helen Kijo-Bisimba, Boniface Anyisile Mwabukusi, Ado Shaibu, Paul Kisabo, Addo November Mwasongwe, Hilda Stuart, nk
1788879443271.jpg
 
Ibara ya 150(2)(b) ambayo inazungumzia hali ambapo watu wawili au zaidi wanaweza kuwa wanashikilia madaraka ya kazi moja kutokana na uteuzi unaofanyika katika mazingira fulani; hata hivyo, inasema kwamba inapohitajika kutekeleza shughuli ya nafasi hiyo, aliyeteuliwa mwisho ndiye anayehesabiwa kuwa na dhamana pekee ya kazi hiyo.
 
Bila shaka huu ni mjadala wa kikatiba zaidi na wala sio mjadala wa kiitifaki. Je, katiba inatoa masharti gani na urefu gani kuhusu likizo za Rais? Je, katiba inasemaje juu ya eda ya Rais?

Lakini kwa nini Urais wakaimishwe watu wawili badala ya mmoja kama inavyotaka katiba kuwa huyo aliyekaimishwa kama naye hayupo basi atakaimu wa chini yake? Hii ya kuwakaimisha watu wawili kwa wakati mmoja inaelekezwa na matakwa ya kifungu gani cha katiba?
Je, nini kimekushangaza? Je, nini maoni yako?

Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
Itunge, Dar es Salaam; 8 Septemba 2026; Saa 5:40 jioni.

Waione mawakili: Helen Kijo-Bisimba, Boniface Anyisile Mwabukusi, Ado Shaibu, Paul Kisabo, Addo November Mwasongwe, Hilda Stuart, nk
Hatuna uzoefu wa rais kufiwa, huu ni msiba wetu wa kwanza.
 
Mkuu ww unawezaje kuwa pande zote, siasa upo, vyakula, afya, sayansi, usikute hadi mambo ya uchawi unayajua 😂
 
Natamani sana nipate mwalimu wa kunifundisha uchawi, niutumie kwenye shughuli zangu za kilimo, niwe nafanya predictions, vumbuzi, tatuzi, n.k kwa uchawi
Hauna msaada kivile zaidi ya mateso ya maagano
 
Back
Top Bottom