Kumkomboa mtu mweusi, anzia kumkomboa kichwani kwanza

Kumkomboa mtu mweusi, anzia kumkomboa kichwani kwanza

The ice breaker

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2023
Posts
1,119
Reaction score
2,427
Inasikitisha sana

Nimepita Kawe hapa, aiseee wanachi wanapigwa na jua mpka huruma, na bado wana hongwa baiskeli na nyama za ng'ombe.

Ila wanasiasa wanabagaza, na kubananga kodi za wananchi kwa kununua magari makali , na kuishi maisha ya starehe, mbaya zaidi pesa zingine wamezificha huko nchi za watu .

Mtaji wa wanasiasa ni wananchi wapumbavu na raia masikini wenye kipato cha chini sana.

Nasikia idadi kubwa ya watu , wametokea huko Temeke, it means huko Temeke kuna mambumbu wengu na low income enarners ni wengi..
 
Hata mweupe; akili za Binadamu na utendaji wote unaanzia kichwani, tatizo lako ni lipi haswa? Hamuwezagi kuelezea mazingira bila kusema mtu mweupe na mweusi?
 
Kwahiyo wale wananchi ambao walikuwa wakideki barabara ili Lowassa apite hao walikuwa hawana akili?

Na wale wananchi waliokuwa wanaudhuria mikutano ya Chadema hawana akili ?
 
Inasikitisha sana

Nimepita Kawe hapa, aiseee wanachi wanapigwa na jua mpka huruma, na bado wana hongwa baiskeli na nyama za ng'ombe.

Ila wanasiasa wanabagaza, na kubananga kodi za wananchi kwa kununua magari makali , na kuishi maisha ya starehe, mbaya zaidi pesa zingine wamezificha huko nchi za watu .

Mtaji wa wanasiasa ni wananchi wapumbavu na raia masikini wenye kipato cha chini sana.

Nasikia idadi kubwa ya watu , wametokea huko Temeke, it means huko Temeke kuna mambumbu wengu na low income enarners ni wengi..
"umeongea" kitu cha msingi sana!
 
Ungeanza kujikomboa wewe kwanza kwa kua na ubunifu wa jina la ID yako hapa JF,

Ila badala yake uka copy ID yangu na kuweka space tu ili tu kukwepa mfumo usireject ID uliyonikopi.
 
Sasa watu wenyewe hawapo mitandao ya kijamii watajifunzaje mkuu
 
hii ni panic pale ulipojiaminisha kwamba polepole ameingusha CCM.
 
Ungeanza kujikomboa wewe kwanza kwa kua na ubunifu wa jina la ID yako hapa JF,

Ila badala yake uka copy ID yangu na kuweka space tu ili tu kukwea mfumo usireject ID uliyonikopi.
Nimeshindwa kubadilisha, naomba unisaidie kubadilisha
 
Back
Top Bottom