Kumiliki gari kunaficha umasikini

Hee kumbe una garii
 
km una umbo la kiumeπŸ˜€ (muscles) mm sina shida kbs😎!ila usiwe na mke..kuna kipindi ntakuwa natoka usiku!tusije mkwaza bure!
Fursa hii ngoja niiwahi![emoji125] [emoji125]
 
Ukifanikiwa kumiliki GARI kweli ww umeuaga umasikini ila kama unamiliki gari kisha ukaonekana unazo aisee toka kwenye hilo kundi la watu ......kuna tofauti ya GARI na gari(if u know,u know,) NARUDIA kuna tofaut ya GARI na gari"" range rover /passo
 
Ambao hayajawakuta hawawez kuelewa..
Kabisa aisee, imagine mjamzito kashikwa na uchungu usiku wa manane na kituo cha afya kipo 15 kilomita away. Bila kuwa na usafiri wako unapata taabu sana.
 
Huyo sio mnafiki.
 
Kweli Ukiwa na Gari utampata hata NAHUJA
 
Ajabu misibani magari yakiwa mengi ni sifa siju tumekaaje
 
Nimeishia kusoma hapo kwenye " jua kali kama lote".

Hapo tu imetosha kunijulisha wewe ni aina gani ya mtu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…