Sio tu kwamba hatujakizoea mkuu.. huku kwetu bana tatizo usafiri wa umma ni mbovu sana kiasi kwamba mtu ukipata vijihela kitu cha kwanza unawaza ujikwamue kwenye hilo balaa..Ofcoz pia ni kwa sababu ni kifaa ambacho bado hatukukizoea.
Tena atukome kabisaAcha kutuvunjia heshima sisi tunao tumia toyo
Gari binafsi ni jini linakula kamshahara ketu.Sio tu kwamba hatujakizoea mkuu.. huku kwetu bana tatizo usafiri wa umma ni mbovu sana kiasi kwamba mtu ukipata vijihela kitu cha kwanza unawaza ujikwamue kwenye hilo balaa..
Mie na kay holder ya bmw basi boss anajua na X5 sio kunishuku wizi kila sikubora ungewaambia mbovu sababu zingine kuzielewa mpaka uwe mfuasi wa ccm.
mimi nkitaka kwenda kukopa gesi ama sukari dukani kwa mangi naendaga na gari yaani hachomoi kirahisi. gari sometimes inaongeza heshma ata bar husumbuliwi sumbuliwi kulipa Bill
Keep kidding your self dude!Gari lina raha yake aisee hata kama huna nyumba
Cha muhimu kwenu unatuma matumizi baasi
Am natKeep kidding your self dude!
Sikumoja nilimtumia ujumbe boss kuwa nitachelewa job betri ya gari inazingua jamaa alitema mbovu nikaona isiwe tabu nikashika boda tena nikawa wa kwanza kuingia ofisinihahahahahahahah its true my dear... inaongeza hadhi....tena sana aisee!ila umenichekeshaa
Kiuchumi hapo tunasema bora upande usafiri Wa umma,hiyo alfu8 uingize kwingine gari ibaki for emergencyila pumabf sana magari jaman!yanamaliza wese sio kitoto!mm nilipiga hesabu sehem nayofanya kazi its like 12 kms,,na kurudi 24!yaan kwa sik inatumika 10000/ya mafuta!while ukpanda daladala natumia 2000 nauli to n fro
hasara sana sana! shida mazoeaKiuchumi hapo tunasema bora upande usafiri Wa umma,hiyo alfu8 uingize kwingine gari ibaki for emergency
Masikini ni mtu wa aina gani? Ukiwa masikini unaweza kumiliki gari? Hata ukipewa bure gari lina gharama zake.Gari bhana.
Wanaomiliki magari wanaaminika sana kwamba wana hela, hawana dhiki.
Mtu mwenye gari anaeleweka haraka sana na anaaminika mno kuliko wewe unayetembelea ngondi ama Toyo.
Gari ni kama shetani fulani.
Gari huficha umaskini kwa kiasi kikubwa sana.
hhahhhaa!aisee ...zoea vyote tu..ila mm umuhm wa gari hasa wknd au kwenye sherehe huna hofu na m8da wakwenda au kurudiSikumoja nilimtumia ujumbe boss kuwa nitachelewa job betri ya gari inazingua jamaa alitema mbovu nikaona isiwe tabu nikashika boda tena nikawa wa kwanza kuingia ofisini
Kuna Uber,Taxify tena kwa wanywaji ni vizuri kutumia huduma hizi.hhahhhaa!aisee ...zoea vyote tu..ila mm umuhm wa gari hasa wknd au kwenye sherehe huna hofu na m8da wakwenda au kurudi
Mimi kwa siku na drive 66kms kwenda na kurudi issue ni moja ukiwa na gari lako time management ni A ukisema ulambe public trans kutoka city cetre labda saa 11 jioni mpaka upate usafiri ufike izo km 33 ujue ni saa 3 usiku mana kwanza utaunga sana usafiri. Na kama utataka kuwahi utaingia gharama kuliko uki drive private.mana bodaboda na bajaji jioni nao bei juu hasa mjini hao bodaboda bado hwajakutengua kiuno ukaingia gharama ambayo ungeweka mafuta ya mwaka hahahaaaila pumabf sana magari jaman!yanamaliza wese sio kitoto!mm nilipiga hesabu sehem nayofanya kazi its like 12 kms,,na kurudi 24!yaan kwa sik inatumika 10000/ya mafuta!while ukpanda daladala natumia 2000 nauli to n fro
Mimi kwa siku na drive 66kms kwenda na kurudi issue ni moja ukiwa na gari lako time management ni A ukisema ulambe public trans kutoka city cetre labda saa 11 jioni mpaka upate usafiri ufike izo km 33 ujue ni saa 3 usiku mana kwanza utaunga sana usafiri. Na kama utataka kuwahi utaingia gharama kuliko uki drive private.mana bodaboda na bajaji jioni nao bei juu hasa mjini hao bodaboda bado hwajakutengua kiuno ukaingia gharama ambayo ungeweka mafuta ya mwaka hahahaaa
Kuna Uber,Taxify tena kwa wanywaji ni vizuri kutumia huduma hizi.
Walking just because u decided to leave ur car in your driveway or exercising doesnt mean poverty, but walking because you cant afford 400/- daladala fare is poverty!I live in Mars, I'm not Bruno!View attachment 874698
Shukran mkuuni kweli aisee 66 ndef aisee
Ukiwa nayo uandae na pesa za kuwapa Traffic.