CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
Kwanini foreplay(siziiti flirtin) na mpenzi wa mwenzio, si asingeoa/olewa tu kama hizo flirts za ofisini alizijua before.
Ndoa ni kitu kingine kuna conditions humo ndani.
Kuna wafanyakazi maofisi, warembo/watanashati sana na ni agemet na hao wanaonyegeshana maofisini lakini wao hawana michezo hiyo, na hawajasema kwa mdomo hawataki lakin venye wanajieka mipaka hujichora, na bado wanaeza storisha kawaida, hawapungukiwi lolote.
Hapa am against unannounced visits ofisini kwa mwenzi wako
Pia am against hizo mnazoiita utani/michezo ya maofisini.
Mzahamzaha hutumbua usaha, ndio mana daily wanashikwa vyooni
Weekend niaje wanaMMU????
Yangu naimalizia hapaa, ila usiulize ni wapi!
Back to topic: Kama kawaida mjuavyo makazini ama maofisini huwa kuna utani wa hapa na pale baina ya wafanyakazi, mara mkaka huyu kamhug mdada huyu mara wameegemeana n.k...
Wengine hata ni wanandoa ila utani lazima uwepo, mara inatokea mke wa Mr. X anakuja hapo kazini kwenu ghafla na kumkuta Mr. X anamhug mdada fulani hapo.. Je wewe kama Mrs. X unaweza kufikiri ni hali ya utani baina yao au watakuwa na lao jambo????
Ama inatokea Kaka mmoja hapo ofisin anamuagiza Mrs. X amletee chai, Mrs. X anaandaa chai na kumletea huyo mkaka kisha anajirgama mezani kwake wakiendelea na story. Ghafla Mr. X anaingia na kumkuta Mrs. X akimkorogea sukari hapo mezani huku ameegama... Wewe kama Mr. X utafikiria nini????
NOTE: Hakuna mapenzi baina yao ila ni katika ule ukaribu kama wafanyakazi ndio maana hayo hutokea....
Hebu tujadiliane wadau.... Ni sahihi kwenda kazini kwa Mkeo/mmeo/mpenzio.bila taarifa? Hizo tabia za kuhug, kuwa na ukaribu zaidi baina ya wafanyakazi zimekaaje???

Kwa mwanamke mwenye staha hawezi kuruhusu utani ambao utaifanya jamii imtilie shaka. Na kwa mtu ambaye anajiheshimu kazini hawezi kutaniwa utani wa kuleta maswali. ni lazima tufahamu kuwa hata moto unaoteketeza msitu mnene unaweza kuanzishwa na moto mdogo sana wa njiti moja ya kiberiti.
Ni sahihi kutembeleana ofisini ikiwa kuna jambo la lazima kufanya hivyo ila sio kwenda tu kuuza sura kwani ofisini ni mahali pa kazi sio kutembeleana kwa maongezi ya kawaida.
Pia utani sio lazima umtanie mtu kimapenzi tena ni mbaya kufanya hivyo ikiwa mhusika ni mwanandoa.
Kwenda kazini bila taarifa ni jambo la kawaida linajenga uaminifu kati ya wenza, kuhusu kukorogewa chai haimati sana,lakini kukumbatiana kunaweza kuleta mtafaruku lazima nitapatwa na kawivu fulani hivi...Weekend niaje wanaMMU????
Yangu naimalizia hapaa, ila usiulize ni wapi!
Back to topic: Kama kawaida mjuavyo makazini ama maofisini huwa kuna utani wa hapa na pale baina ya wafanyakazi, mara mkaka huyu kamhug mdada huyu mara wameegemeana n.k...
Wengine hata ni wanandoa ila utani lazima uwepo, mara inatokea mke wa Mr. X anakuja hapo kazini kwenu ghafla na kumkuta Mr. X anamhug mdada fulani hapo.. Je wewe kama Mrs. X unaweza kufikiri ni hali ya utani baina yao au watakuwa na lao jambo????
Ama inatokea Kaka mmoja hapo ofisin anamuagiza Mrs. X amletee chai, Mrs. X anaandaa chai na kumletea huyo mkaka kisha anajirgama mezani kwake wakiendelea na story. Ghafla Mr. X anaingia na kumkuta Mrs. X akimkorogea sukari hapo mezani huku ameegama... Wewe kama Mr. X utafikiria nini????
NOTE: Hakuna mapenzi baina yao ila ni katika ule ukaribu kama wafanyakazi ndio maana hayo hutokea....
Hebu tujadiliane wadau.... Ni sahihi kwenda kazini kwa Mkeo/mmeo/mpenzio.bila taarifa? Hizo tabia za kuhug, kuwa na ukaribu zaidi baina ya wafanyakazi zimekaaje???
Weeee! Chezea hangine siyo kwa mme wangu! Ati nikute umemuwekea kifua chako mgongoni unampapasa uniambie mnazuga tu eti mko ofc moja! Watu wanaanzaga ivo mwisho wanazoeana na wanaamua kugegedana...mara utaagwa eti wanaenda semina moro kumbe ndo wanaenda kumaliza genye zao! Mi nikimkuta Mr wangu patachimbika!
Napita tu@
Hivi kweli ndoa zenu mmezifanya zikawa taabu kiasi hicho na pia zikawa so cheeaap??
Kazini hakuna nafasi ya kuflirt, kuna nafasi ya kufanya kazi tu!
Pia kazini kwangu au kwa bibi siyo bedroom yetu kiasi kwamba naweza kuingia anytime....Nitaenda tu kama kuna sababu ya kufanya hivyo na lazima atajua nakuja.
Babu DC!!!
Asante kwa maushauri babu DC.....