Zak Malang
JF-Expert Member
- Dec 30, 2008
- 5,404
- 242
Baraza Kuu la Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Mkoani Mara umetaka serikali kutamka kwamba Dowans ni kampuni hewa na kwamba isilipwe hela yoyote. Uamuzi huo umefikiwa baada ya mkutano wa baraza hilo chini ya Mwenyekiti wake Marwa Mathayo.
Source: ITV "Hapa na Pale" news programme saa 12 jioni hii.
My Take:
Inavyoonekana RA hajawawahi vijana hawa, wamemshtukizia tu. Lakini hata hivyo hiyo ni changamoto kubwa kwa UVCCM hapa nchini.
Source: ITV "Hapa na Pale" news programme saa 12 jioni hii.
My Take:
Inavyoonekana RA hajawawahi vijana hawa, wamemshtukizia tu. Lakini hata hivyo hiyo ni changamoto kubwa kwa UVCCM hapa nchini.