Kumekucha: UVCCM-Mara yataka serikali isiilipe Dowans

Yangu Macho pekee, ila NUru ya Uhuru ileeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Hongera Mara
 
Subirini muone UVCCM Igunga wakitembea kwa miguu kutoka Igunga hadi Dar kuongea na waandishi wa habari,wakiwapinga wenzao wa Mara na kumpongeza Mbunge wao RA kwa kushinda kwa kishindo,na kuiomba Serikali kuilipa DOWANS
 
Najua kutokana na mfumo wa CCM na nguvu ya RA ndani ya Chama, UVCCM (M) Mara watakua kwenye wakati wa misukosuko kwa takribani wiki nzima ila tunahitaji kuwatia moyo kwa angalau kuthubutu kuchukua kengele (bado kumvisha paka!).Mikoa mingine nayo inapaswa ijitokeze kuunga mkono kauli ya UVCCM (M) Mara.Athari za malipo hazina itikadi.I can see the light! Mafisadi wenyewe hawazidi kumi ndani ya chama yaani ndo walete tabu kwa zaidi ya wanachama mil 5??? Kila skendo wao!

Angalizo: Natumai tamko halina interest na makundi yanayogombea urais 2015!
 
Ngoja wacheze na wakurya hawa jamaa hawajali cha cc wala nini watahamia upinzani wote wala hawana chakupoteza. Hawa hufaata haki tu hawajui kuumauma maneno. Huu ni mwiba makli kwa ccm hawatalala hapa. Haya ndiyo yanayotakiwa yatokee. Hivi sahani ya udongo wa kichina ikianguka sakafuni pwaaaa unaweza kuiungaunga upate kitu kizima tena? Ccm ni kama sahaani la undongo limechezewa sakafuni na watatoyo wameliangusha chini pwaaa sasa ni vipande vipande tu. Mkwere atweza kuokoteza na kuungaunga tena iwesahani yakupakulia mgeni chakula? Hatakama likirudishiwarudishiwa bado litakuwa bakula kulia mbwa tu! Hilo ndo ccm tam ala mbovu!

Hivi wewe nani alikwambia kuwa kila mtu wa mkoa wa Mara ni mkurya? Sitarajii great thinker kugeneralize mambo kwa kiasi hiki.
 
mi nimeshangazwa sana na wana CCM, wakishaona mambo yamewakaba koo then ndo wanaanza kujitokeza na ku-support hadharani
 
mi nimeshangazwa sana na wana CCM, wakishaona mambo yamewakaba koo then ndo wanaanza kujitokeza na ku-support hadharani

Mimi ninamtazamo tofauti: Tofauti hizi zinaonyesha ama kukomaa kwa chama au kuporomoka.....
 
Sory kuuliza si ujinga unaposema RA unakuwa unaamanisha Rostam Aziz huyu ambaye anategemewa kupokea pesa za DOWANS na ni mtu mwenye mchango mkubwa wa maamuzi anayofanya ndugu Jakaya Kikwete?
Yap! Ndo huyohuyo,the one and only!
 
Baraza Kuu la Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Mkoani Mara umetaka serikali kutamka kwamba Dowans ni kampuni hewa na kwamba isilipwe hela yoyote. Uamuzi huo umefikiwa baada ya mkutano wa baraza hilo chini ya Mwenyekiti wake Marwa Mathayo.


Source: ITV "Hapa na Pale" news programme saa 12 jioni hii.

My Take:

Inavyoonekana RA hajawawahi vijana hawa, wamemshtukizia tu. Lakini hata hivyo hiyo ni changamoto kubwa kwa UVCCM hapa nchini.
RA ataingia kazin soon,we utawasikia wakisema wali kotiwa vibaya,sikiliza utaona tu hiv punde
 
CCM kwa vukuta moto wa chini chini.
Hali ngumu ya maisha inamgusa kila mmoja wakati wakaongozi wanamaisha ya peponi
 
Watu wa mkoa wa mara siku zote wameku na misimamo ya kueleweka sishangai kusikia wakitoa kauli hiyo. Wote wakurya, wajita na makabila mengine madogo ya mkoani humo hawataki longolongo.
 
I get so irritated to see Sitta na Mwakyembe wakiwa bado kwenye baraza la matapeli. Wasimame tuwahesabu sasa maana kuna watu wengine huko nyuma walisimama kwa ajili ya kizazi chetu. Ni wakati wao kusimama kwa ajili ya kizazi kijacho. Wakishindwa kusimama wenyewe inabidi tuwasimamishe kwa lazima na dunia itambue hilo.
 
nasubiri BAKWATA kutoa karipio lao dhidi yao maana wameonekana kutetea chochote kinachofanywa na serikali ya jakaya,..kinachomatter kwao ni kumtetea islamiyat mwenzao regardless!!!!
icon9.png
 
I get so irritated to see Sitta na Mwakyembe wakiwa bado kwenye baraza la matapeli. Wasimame tuwahesabu sasa maana kuna watu wengine huko nyuma walisimama kwa ajili ya kizazi chetu. Ni wakati wao kusimama kwa ajili ya kizazi kijacho. Wakishindwa kusimama wenyewe inabidi tuwasimamishe kwa lazima na dunia itambue hilo.


hivi we hawa jamaa unadhani ni wenzako???wangekuwa wana uchungu na hii nchi kweli wangeforsake maposho na kujitoa atleast kwenye baraza la mawaziri ingawaje walitakiwa kuachia na ubunge na kujitoa ccm,...they need to shut up!!in this war for our nation u need to decide either with us or against us,...no one is neutral in this war,..you must choose a side....
 
Back
Top Bottom