Kumekucha UKAWA: Lipumba kutoa msimamo wa CUF leo saa tano Asubuhi

Makamanda, hii hoja ya CUF inaitaji majibu.

6) mgawanyo wa viti maalum vya wabunge. Cuf inataka viti maalum vya wabunge vigawanywe sawa miongoni mwa vyama washirika vinavyounda ukawa. Hoja yao inatokana na ukweli kwamba, viti maalum vitapatikana kutokana na idadi ya kura atakazopata mgombea urais. Kwa vile mgombea huyo atasimamishwa na ukawa, basi idadi ya viti maalum itakayopatikana igawanywe sawa. Hata hivyo, chadema wanataka kuwa kusiwe na uwiano sawa kutokana na hadhi ya vyama hivyo kutofautiana.
 
No 6 ni hoja ya msingi sana
sijui why CHADEMA hawataki kuiona hiyo

Yaani CDM, CUF, NCCR, NLD wapate viti sawa vya ubunge wa viti maalum?

Mathalani kama UKAWA itapata viti 80 vya ubunge wa viti maalumu, Basi CDM ipate 20, CUF 20, NCCR 20, NLD 20 = 80

Kweli common sense is not always common to everyone.
 
Nadhani Tumaini Makene atakujuza zaidi
Hapo ndio Utajua kuwa mada yako ni ya kizushi. Umesema CUF wameitisha mkutano na waandishi ili Lipumba aseme atakayo. Sasa hapo Tumaini Makene anaingiaje wakati yeye ni msemaji wa chama kingine?
 
Yaani CDM, CUF, NCCR, NLD wapate viti sawa vya ubunge wa viti maalum?

Mathalani kama UKAWA itapata viti 80 vya ubunge wa viti maalumu, Basi CDM ipate 20, CUF 20, NCCR 20, NLD 20 = 80

Kweli common sense is not always common to everyone.
Kwa hiyo Chadema ndiyo wanatakiwa wao ndiyo wachukuwe viti vyote 80?

Sasa kama ndiyo hivyo huu muungano unafaida gani.

Bora kila mtu apambane kivyake.
 
Makamanda, hii hoja ya CUF inaitaji majibu.

6) mgawanyo wa viti maalum vya wabunge. Cuf inataka viti maalum vya wabunge vigawanywe sawa miongoni mwa vyama washirika vinavyounda ukawa. Hoja yao inatokana na ukweli kwamba, viti maalum vitapatikana kutokana na idadi ya kura atakazopata mgombea urais. Kwa vile mgombea huyo atasimamishwa na ukawa, basi idadi ya viti maalum itakayopatikana igawanywe sawa. Hata hivyo, chadema wanataka kuwa kusiwe na uwiano sawa kutokana na hadhi ya vyama hivyo kutofautiana.

Get your records right

Viti vya ubunge maalum vinapatikana kutokana na proportional ya kura za Rais na proportional ya idadi ya wabunge wa kuchagulia ambao chama kimepata.

Kwa hiyo kuna two factors zinazo determine idadi ya wabunge wa viti maalumu
  1. Kura za Urais wa JMT
  2. Idadi ya wabunge wa kuchaguliwa/walioshinda
 
Hapa ndiyo nilijua watakapoachana Mbowe wala Slaa hawawezi kukubali.

5) mgawanyo wa ruzuku haujawekwa sawa. Kwamba, kwa mujibu wa sheria za sasa, chama chenye wabunge wengi ndicho kitakachopata kiwango kikubwa cha fedha za ruzuku. Cuf wanasisitiza kuwe na makubaliano rasmi ya kugawanya ruzuku hiyo miongoni mwa vyama washirika kwa uwiano sawa. Hata hivyo, hoja hiyo inakataliwa na chadema.
 
Kwa hiyo Chadema ndiyo wanatakiwa wao ndiyo wachukuwe viti vyote 80?

Sasa kama ndiyo hivyo huu muungano unafaida gani.

Bora kila mtu apambane kivyake.

Nafahamu wewe hiyo ndiyo sala yako kila uchwao!

Soma post yangu # 101, kuhusu wabunge wa viti maalumu
 
Walishindwa kupata majibu ya mgombea wa ukawa kabla ya ccm kumtangaza magufuli,sasa katangazwa magufuli ndiyo wamevurugwa kabisa maana hazina ya ukawa ni slaa na lipumba,na hawatoshi kwa magufuli
Haaha hahaa mkuu mi nahisi Mbatia akijiongeza anafaa sana ni mtu makini asiye na udini wala jazba
 
Hao maprof na madr wa hesabu/sayansi wamefanya nini huko mjengoni tangu wameingia?
 
Lipumba amekubali kuthariti Mabadiliko kwani Wao CUF wametoa taarifa kwanini Vyama vinavyounda Ukawa vimemuunga Mkono maalim Seif kule Zanzibar? Lipumba amegombea Urais Kwa vipindi vinne lkn kila mwaka Nguvu yake Ilipungua kwasababu hakuwa na Mbinu mpya nakwa Ubinafsi huu Anatafuta Aibu..!
Kule visiwani hakuna chadema ,nld wala nccr hivyo kusema walimuachia seif ni sawa na ile hadithi ya kulipwa deni wakati unavamiwa na majambazi
 
Get your records right

Viti vya ubunge maalum vinapatikana kutokana na proportional ya kura za Rais na proportional ya idadi ya wabunge wa kuchagulia ambao chama kimepata.

Kwa hiyo kuna two factors zinazo determine idadi ya wabunge wa viti maalumu
  1. Kura za Urais wa JMT
  2. Idadi ya wabunge wa kuchaguliwa/walioshinda
Mkuu Chadema wanataka wao wapewe 80% ya wabunge na viti maaalum wachukue vyote.
 
Back
Top Bottom