mtAkI360
Member
- Nov 10, 2014
- 96
- 22
Ngoja niwape kwa ufupi tuuu
CHADENA wamechukua majimbo mengi katika mgao wa majimbo.
Wakalazimisha watoe Rais na wakawaomba CUF wawape Mzee Juma Duni awe Makamu wa Rais kwa sharti la kwamba achukue kadi ya CHADEMA kwa vile katiba hairuhusu mgombea na mgombea mwenza kutoka vyama tofauti.Hilo lingekuwa lingekuwa bao la kwanza kwa CUF.
Jambo la pili wakasema Waziri Mkuu lazima atoke kwao.
Fine, Ishu ya wabunge wa viti Maalum ndio imeua kabisaaaa.CHADEMA wanasema kwa vile wao ndio watakuwa na majimbo mengi na watapata viti maalum vingi....wakaambia CUF wateue wanawake wanaowaona wanafaa kwa viti maalum then wapewe kadi za chadema ili waingizwe kweye viti maalum wa CHADEMA.
HAPA NDIPO AMBAPO CUF WANAONA KUULIWA CHAMA CHAO MCHANA HADHARANI.