Kumekucha TRA

Kumekucha TRA

hivi kwanini aliekua anakaimu nafasi ya cag hakuteuliwa cag badala yake akateuliwa mtu ambaye alikua nje ya taasisi?
Kwasababu aliyekuwa ana act ni mbabaishaji na hafai kuwa CAG. Alitumia sakata la Escrow kujikomba kwenye system badala ya kunyoosha mstari kama alivyokuwa boss wake aliyestaafu. CAG gani haju kama fedha ni za nani wakati huo fedha hizo zipo BOT? "eti zile fedha zinaweza kuwa za serikali ama sio za serikali. BOT inakaa fedha ya umma tu. Full stop. Huyu fara Kikwete kamtendea haki kutokumteua.
Aliyeteuliwa alikuwa ni mwalimu chuo kikuu na ni prefossor. Uzoefu umeonyesha kuwa wanaodandia siasa kwa mbele yaani wanojiunga na siasa uzeeni wakiwa maprofessor wengi ni feki kasoro Mwandosya tu. So huyu sitegemei jipya. Kubobea kwenye uhasibu na kuongoza ukaguzi na udhibiti ni vitu viwili tofauti japo vinahusiana.
 
Nchi hii ina waigizaji wengi sana! Hii ESCOW itatujuza mengi but mimi nauhakika JK kapiga mpunga

Mpunga wa huyu bwana mkubwa ni wa uhakika. Uliona alivyokuwa anahutubia alivyotoka matibabu? Alilazimisha ile iwe hotuba ya mwisho wa mwezi. Mi ninaamini ndege take imebeba mgao wake kwenda kuuficha huko.
 
Je ni jaji gani yupo arusha? nasikia tangu jana amebanwa

nimepishana na kilimo kwanza la CAG leo asubuhi.......kuna nini........sijui.......
 
Jambo lipo mana huyu Assad jana baada ya kuapishwa ametamka eti kufanya tathmini tena kama pesa ni za umma ama la., kuna kamchezo flani ccm wanajaribu cijuwi itaishia vipi hii movie. let c..

Hata akitamka nini !,but sie watanzania wengi tunajua tumeibiwa,acha wachochee kuni moto ukiwaka wataikimbia nchi hii!,time will tell
 
wacheni sarakas ziendelee msiwanyang'anye kamba ccm wakat kwa ridhaa yao wenyewe wameamua kwenda kujinyonga
 
kuna kitu kinatengenezwa hapa
Mi nilishtuka tangu siku Pinda anaahilisha Bunge, alipopayuka eti wanamwachia Kazi CAG abaini fedha ni za nani? kwa matamshi yale ina maana wanamtaka CAG aainishe kwa matakwa yao na si kwa uhalisia,
kazi iliyokuwa mbele ni TAnesco ku re calculate na kujua pesa yao kiasi gani na Kodi kiasi gani sasa haya mambo ya CAG kuanza tena kutathmini, anatathimni kipi, anatathmini kazi ya CAG mwenzake? haamini alichokianza mwenzake? aangalie sana asidhani hii nchi ni ya wateule wachache.
 
Mpunga wa huyu bwana mkubwa ni wa uhakika. Uliona alivyokuwa anahutubia alivyotoka matibabu? Alilazimisha ile iwe hotuba ya mwisho wa mwezi. Mi ninaamini ndege take imebeba mgao wake kwenda kuuficha huko.

Nahisi ile ilikuwa ni mission ya kucheza na vyombo vya habari, kupunguza coverage ya ESCROW kwa siku iliyofuata maana ndo ilikuwa hitimisho la ESCROW Saga! hata hivyo mission ilifail haikuwa successful kama matarajio yao yalivyokuwa!
 
Kwasababu aliyekuwa ana act ni mbabaishaji na hafai kuwa CAG. Alitumia sakata la Escrow kujikomba kwenye system badala ya kunyoosha mstari kama alivyokuwa boss wake aliyestaafu. CAG gani haju kama fedha ni za nani wakati huo fedha hizo zipo BOT? "eti zile fedha zinaweza kuwa za serikali ama sio za serikali. BOT inakaa fedha ya umma tu. Full stop. Huyu fara Kikwete kamtendea haki kutokumteua.
Aliyeteuliwa alikuwa ni mwalimu chuo kikuu na ni prefossor. Uzoefu umeonyesha kuwa wanaodandia siasa kwa mbele yaani wanojiunga na siasa uzeeni wakiwa maprofessor wengi ni feki kasoro Mwandosya tu. So huyu sitegemei jipya. Kubobea kwenye uhasibu na kuongoza ukaguzi na udhibiti ni vitu viwili tofauti japo vinahusiana.
Hawa wote wanasiasa mkuu usitegemee jipya hapo.
 
Ukimuuliza Katibu Kinana na timu yake wanasema watuhumiwa wote wawajibishwe. Ukisikiliza timu ya Mwenyekiti anasema hapana, maazimio ya Bunge hayatekelezeki. Ni chama kimoja kweli hiki?
 
Kumbuka waraka wa Kakobe utajua unalosema!!!
 
Hii habari hata haipo clear.

Wakuu naomba kuweka wazi kinachoendelea.

Gazeti la Mwananchi limechapisha habari jana kuwa Bodi ya TRA (TRAB) imemsimamisha Kamishan wa TRA kutofuta hati za mauziano ya hisa kati Mechmar na Piperlink na Piperlink kwenda PAP.

Hii imetokana na ripoti ya TRA kuonyesha kuwa uuzaji wa hisa hizo ilikuwa ni uongo. Sasa Kamishna jana ameamua kufuta hizo hati na kilichonishangaza zaidi ni baada ya Zitto kutweet kuwa bodi ya TRA (TRBA) haikukaa na kutoa hili zuio kwa Kamishna. Kwa maana nyingine habari zilizochapishwa na Mwananchi jana hazikuwa za kweli.

Sasa kinachoendelea PAP na IPTL ndio wamemfungulia mashtaka Kamishner kwa kufuta hati hizo kwani alikiuka agizo la bodi ya TRA yaani TRAB)
 
Jambo lipo mana huyu Assad jana baada ya kuapishwa ametamka eti kufanya tathmini tena kama pesa ni za umma ama la., kuna kamchezo flani ccm wanajaribu cijuwi itaishia vipi hii movie. let c..

Kwani ripoti ya CAG ilisema za umma ama la?

Hebu jaribu kuwa mkweli japo kiduchu.
 
Wakuu naomba kuweka wazi kinachoendelea.

Gazeti la Mwananchi limechapisha habari jana kuwa Bodi ya TRA (TRAB) imemsimamisha Kamishan wa TRA kutofuta hati za mauziano ya hisa kati Mechmar na Piperlink na Piperlink kwenda PAP.

Hii imetokana na ripoti ya TRA kuonyesha kuwa uuzaji wa hisa hizo ilikuwa ni uongo. Sasa Kamishna jana ameamua kufuta hizo hati na kilichonishangaza zaidi ni baada ya Zitto kutweet kuwa bodi ya TRA (TRBA) haikukaa na kutoa hili zuio kwa Kamishna. Kwa maana nyingine habari zilizochapishwa na Mwananchi jana hazikuwa za kweli.

Sasa kinachoendelea PAP na IPTL ndio wamemfungulia mashtaka Kamishner kwa kufuta hati hizo kwani alikiuka agizo la bodi ya TRA yaani TRAB)

Hii nchi maajabu hayaishi. .Kamishna ana haki ya kufuta iwapo kuna ushahidi unaoonyesha share value ilikuwa under declared na hilo halina haja ya kusubiri mahakama kwa kesi zilizopo ni kufuta na kutoa assessment upya ya kodi na alipe. .. ikiwezekana na kifungo juu kwa kuwa alikusudia kuikosesha nchi mapato...hawa TRAB wanajichanganya tu...
 
Back
Top Bottom