stineriga
JF-Expert Member
- Jun 20, 2012
- 2,172
- 892
Kwasababu aliyekuwa ana act ni mbabaishaji na hafai kuwa CAG. Alitumia sakata la Escrow kujikomba kwenye system badala ya kunyoosha mstari kama alivyokuwa boss wake aliyestaafu. CAG gani haju kama fedha ni za nani wakati huo fedha hizo zipo BOT? "eti zile fedha zinaweza kuwa za serikali ama sio za serikali. BOT inakaa fedha ya umma tu. Full stop. Huyu fara Kikwete kamtendea haki kutokumteua.
Aliyeteuliwa alikuwa ni mwalimu chuo kikuu na ni prefossor. Uzoefu umeonyesha kuwa wanaodandia siasa kwa mbele yaani wanojiunga na siasa uzeeni wakiwa maprofessor wengi ni feki kasoro Mwandosya tu. So huyu sitegemei jipya. Kubobea kwenye uhasibu na kuongoza ukaguzi na udhibiti ni vitu viwili tofauti japo vinahusiana.
wewe chizi ulichoandika hata hakieleweki, ebu rudia kusoma comment yako inawezekana wewe mwenyewe usielewe.