KUMEKUCHA: Tanzania Kupokea 5% Ya Project Bomba La Mafuta Kutoka Uganda, Kinyume Na Magufuli Alivyowaaminisha Raia Wake

Nyie ni waongo na wanafiki halaf unasema eti wamechakachua hivi unaijua mikataba wewe????Jaribu kuwa na akili hivi unajua bado makinikia yanasafirishwa???
Wamechakachua baada ya Magufuli kuinuliwa! M7 ndio maana hukuwa na ujasiri wa kuhudhuria mazishi eeh!?
Magufuli asingekuwa part ya unyonyaji huu! Angewashauri Uganda wayaache mafuta mpaka watakapokuwa na uwezo wa kuchimba wenyewe!
RIP shujaa wetu Magufuli, tutakukumbuka daima kwa mema shujaa wetu !
 
Kwa hiyo Tanzania ipate 70% kumzidi TOTAL ambaye ndo mwekezaji, wazungu hawajawahi kufanya biashara kichaa....utaona hata baada ya waganda kulialia wameambulia 15%....
 
Wamechakachua baada ya Magufuli kuinuliwa! M7 ndio maana hukuwa na ujasiri wa kuhudhuria mazishi eeh!?
Magufuli asingekuwa part ya unyonyaji huu! Angewashauri Uganda wayaache mafuta mpaka watakapokuwa na uwezo wa kuchimba wenyewe!
RIP shujaa wetu Magufuli, tutakukumbuka daima kwa mema shujaa wetu !
Hakunaga shujaa mwehu,labda shujaa pombe inayotengenezwa shinyanga
 
Isijekuwa nchi jirani imetafuta njia rahisi ya safirisha mafuta ghafi yalioyagizwa toka nje!

Step 1: Jidai kwamba mmegundua mafuta na mnataka kuyachimba.
Step 2: Tangaza zabuni ya bomba la mafuta
Step 3: Jenga bomba
Step 4: Tunatesti mitambo kwa kusafirisha mafuta ghafi toka bandarini mpaka nchi jirani.
 
Hata hiyo 5% ni dili ikizingatiwa kuwa mafuta si ya Tanzania bali Uganda. Ridhikeni na mnachopata. Cha muhimu ni kwamba kuna pato hapa hata kama siyo hiyo 70% ambayo nadhani Magufuli alimaanisha kwenye ujenzi ambapo sehemu kubwa iko Tanzania. Soma zaidi utagundua kuwa umekurupuka.
Now you are a true great thinker... Naona MIGA anapambana Sana. BAVICHA
 
Imani yangu, wewe ndio sio mfatiliaji wa mambo kwa undani, na ndio mliokua mkiaminishwa hata ATCL kufanya kazi kwa faida na kuipa serikali gawio.

Hoja ni fupi; KWANINI RAIA TULIDANGANYWA? Tungeambiwa ukweli kuwa tunapata 5% au 1% wala tusingekataa, tungekubali. Ila Magufuli Kila kitu kwake kilikua kinaendeshwa kwa mwendo wa uongo uongo uongo na propaganda tu.
Hujaelewa. Mikubwa ni kuwa sehemu kubwa ya bomba linapita Tanzania na ndio hapa mzee alizungumzia. Ila wewe kwa kukukurupuka umekuja mbio mbio bila muelewa chochote
 
Habari Wana Jamvi,

Katika pita pita za kuchambua, kudadisi, kufuatilia, kuchunguza na kuperuzi baadhi ya mambo yanayo endelea kwa maslahi ya taifa letu, mara baada ya report ya CAG kutoka na baadhi ya raia kuhoji kuhusu hatima ya project ambazo aliacha Marehemu Magufuli.

Raia tumefumbuliwa macho na CAG (Japo kuna baadhi yetu tulikua macho kibishi bishi kweli, hata kipindi Marehemu alipojaribu kutumwagia pilipili na upupu machoni ili tuyafumbe, na aliona haitoshi akaamua kututoboa macho kabisa tusione).

Nimekutana na hii issue ya project ya bomba la mafuta, ambayo nimeileta kama hoja binafsi mbele ya "BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA JAMIIFORUMS" ijadiliwe. Mheshimiwa Speaker, naomba muongozo niwakilishe hoja;

Nirudi kwenye mada husika,

Hivi karibuni, mara baada ya Rais Mama Samia kuapishwa tu, siku ya pili alifanya ziara ya kikazi kwenda nchini Uganda kufuatilia makubaliano yaliofikiwa na Rais Museven pamoja na Marehemu Magufuli.

Project hio ambayo inategemewa kuwa ndio bomba refu zaidi duniani la kusafirisha mafuta, lenye thamani ya Mabillioni Ya USD, ambalo linatarajiwa kuwa na;

1) Bomba Zenye Unene Wa 24" (Insulated 24 Inch Pipeline).

2) Ujazo Wa 216,000 Bopd (Design Capacity).

3) Bomba Refu Kuliko Yote Duniani Ya Kusafirisha Mafuta Kwa Kuyachemsha (Longest Trace Heated Pipeline In The World).

4) Mafuta Ghafi Mpaka Yenye Nyuzi Joto 45°C (45°C PP).

5) Vituo 16 Vya Usimamizi Na Plant 1 Ya Kukoat Mafuta Ghafi (16 Camps & 1 Coating Plant).

6) Vituo 6 Vya Kusukuma Mafuta (6 Pump Stations PS).

7) Vituo 2 Vya Kupunguza Presha (2 Reduction Pressure Stations PRS).

8) Generator Za Kisasa Katika Kituo PS 3 & PS 5 Na Terminal.

9) Marine Storage & Export Terminal.

Swala la mkataba wa makubaliano wa hio project ya bomba la mafuta liliwekwa wazi na Rais Magufuli alipo mkaribisha chato Rais Museven mnamo mwaka jana, na aliliongelea kabla ya umauti kumfika mwaka huu.

Tanzania iliingia makubaliano na Uganda ya ujenzi wa bomba hilo lenye thamani ya Mabillioni mara baada ya kuipiga chini Kenya (Ambayo awali ndio ilianza majadiliano na Uganda).

Rais Magufuli alisema "Tanzania ndio nchi itakayo faidika zaidi na bomba hilo kwa asilimia 70%" pindi alipomkaribisha Rais Museven chato, jambo ambalo raia waliamini na kufurahishwa sana nchi nzima. Raia kwenye hii project walijua hakika tumepiga bingo haijawahi kutokea katika taifa letu (70% si mchezo).

Binafsi, nlishtuka na mahesabu hayakuingia akilini, yaani Tanzania ipate 70%, halafu 30% Uganda na Kampuni Ya Total wagawane. Ila sikuwa jinsi ila kuamini kwasababu mikataba haikuwekwa wazi.

Hivi karibuni, report zimeanza kuwekwa wazi na wahusika wa project hio (Ikiwemo kampuni kubwa ya Mafuta Duniani TOTAL) mara baada ya Rais Samia kufanya ziaya ya kikazi nchini Uganda na kukamilisha sambamba na kumalizia kazi alioianza Rais aliemtangulia.

Mataifa ya wenzetu HAYANA USIRI pamoja na kuwa na UWAZI kwenye mambo yenye maslahi ya kitaifa na makampuni yao. Tofauti na hapa kwetu.

REPORT; Tanzania itapata 5% (Sio 70% kama Magufuli alivyosema na kuwaaminisha Raia), Ugands itapata 15%, wakati CNOON Ltd itapata 8%, na 72% zitachukuliwa na kampuni nguli kutoka nchini France ya TOTAL.

View attachment 1762911

HOJA YANGU;

Sio Tanzania kupewa asilimia chache (5%) katika hio project, hapana, hata tungepewa 2% isingekuwa tatizo. ila point ni "KWANINI VIONGOZI WALITUMIA UONGO KUWAAMINISHA WANANCHI".

Hii sio mara ya kwanza viongozi wa nchi kudanganya raia, ilitokea kwenye;

1) Swala la ATCL kuwaaminisha watanzania kwamba shirika linafanya kazi kwa "FAIDA" kupelekea hata kuipa serikali gawio la faida.

2) Swala la Corona, raia walidanganywa na kuaminishwa kwamba hakuna Corona nchini, ila watu wengi walipoteza maisha kwa Corona (Mpaka baadhi ya Viongozi Wa Vyama Vya Upinzani na Maproffesor Wa Ngazi Za Juu).

3) Swala la kuaminisha watanzania kwamba hakuna ufisadi na upotevu wa hela za wanyonge katika serikali ya awamu ya 5. Ila report ya CAG imetoa hati mbaya kwa baadhi ya wizara kwasababu ya matumizi makubwa ya pesa za watanzania (Wizara nyingine kutumia hela zaidi ya budget walizowekewa).
Kuwa specific 5% ni faida au hasara..

Kama ni faida then tatizo lako liko wapi?
 
Uganda 15%, du wazungu wabaya nyie ! Si bora muyaache ardhini. Hio 15% itagharamia uharibu wa mazingira na kubaki kdogo sana.
Hivi hamna matajiri wa uganda wenye uwezo wa kuwekeza huo mradi mpaka wampe total pesa yote hio.
Waafrika ni manyani kasoro mkia
 
hiyo ni share ya faida inayotikana na share ya Gharama atachangia amabyo Tanzania imejicommet 5%ingawa walibembelezwa wachukue 15%wakawa wamekataa..Lakini mapato ya serikali yanatokana na gharama za tozo kama bandari..kuuza umeme wa kuheat bomba..tozo za kupitishia mafuta ardhi ya Tanzania..TRA levies kwa waajiliwa wabomba n.k..Inakadiliwa Tanzania itapata trillion 1 kwa mwaka kutoka na mafuta kupita kwetu kwa mapipa 214000 kwa siku
 
Habari Wana Jamvi,

Katika pita pita za kuchambua, kudadisi, kufuatilia, kuchunguza na kuperuzi baadhi ya mambo yanayo endelea kwa maslahi ya taifa letu, mara baada ya report ya CAG kutoka na baadhi ya raia kuhoji kuhusu hatima ya project ambazo aliacha Marehemu Magufuli.

Raia tumefumbuliwa macho na CAG (Japo kuna baadhi yetu tulikua macho kibishi bishi kweli, hata kipindi Marehemu alipojaribu kutumwagia pilipili na upupu machoni ili tuyafumbe, na aliona haitoshi akaamua kututoboa macho kabisa tusione).

Nimekutana na hii issue ya project ya bomba la mafuta, ambayo nimeileta kama hoja binafsi mbele ya "BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA JAMIIFORUMS" ijadiliwe. Mheshimiwa Speaker, naomba muongozo niwakilishe hoja;

Nirudi kwenye mada husika,

Hivi karibuni, mara baada ya Rais Mama Samia kuapishwa tu, siku ya pili alifanya ziara ya kikazi kwenda nchini Uganda kufuatilia makubaliano yaliofikiwa na Rais Museven pamoja na Marehemu Magufuli.

Project hio ambayo inategemewa kuwa ndio bomba refu zaidi duniani la kusafirisha mafuta, lenye thamani ya Mabillioni Ya USD, ambalo linatarajiwa kuwa na;

1) Bomba Zenye Unene Wa 24" (Insulated 24 Inch Pipeline).

2) Ujazo Wa 216,000 Bopd (Design Capacity).

3) Bomba Refu Kuliko Yote Duniani Ya Kusafirisha Mafuta Kwa Kuyachemsha (Longest Trace Heated Pipeline In The World).

4) Mafuta Ghafi Mpaka Yenye Nyuzi Joto 45°C (45°C PP).

5) Vituo 16 Vya Usimamizi Na Plant 1 Ya Kukoat Mafuta Ghafi (16 Camps & 1 Coating Plant).

6) Vituo 6 Vya Kusukuma Mafuta (6 Pump Stations PS).

7) Vituo 2 Vya Kupunguza Presha (2 Reduction Pressure Stations PRS).

8) Generator Za Kisasa Katika Kituo PS 3 & PS 5 Na Terminal.

9) Marine Storage & Export Terminal.

Swala la mkataba wa makubaliano wa hio project ya bomba la mafuta liliwekwa wazi na Rais Magufuli alipo mkaribisha chato Rais Museven mnamo mwaka jana, na aliliongelea kabla ya umauti kumfika mwaka huu.

Tanzania iliingia makubaliano na Uganda ya ujenzi wa bomba hilo lenye thamani ya Mabillioni mara baada ya kuipiga chini Kenya (Ambayo awali ndio ilianza majadiliano na Uganda).

Rais Magufuli alisema "Tanzania ndio nchi itakayo faidika zaidi na bomba hilo kwa asilimia 70%" pindi alipomkaribisha Rais Museven chato, jambo ambalo raia waliamini na kufurahishwa sana nchi nzima. Raia kwenye hii project walijua hakika tumepiga bingo haijawahi kutokea katika taifa letu (70% si mchezo).

Binafsi, nlishtuka na mahesabu hayakuingia akilini, yaani Tanzania ipate 70%, halafu 30% Uganda na Kampuni Ya Total wagawane. Ila sikuwa jinsi ila kuamini kwasababu mikataba haikuwekwa wazi.

Hivi karibuni, report zimeanza kuwekwa wazi na wahusika wa project hio (Ikiwemo kampuni kubwa ya Mafuta Duniani TOTAL) mara baada ya Rais Samia kufanya ziaya ya kikazi nchini Uganda na kukamilisha sambamba na kumalizia kazi alioianza Rais aliemtangulia.

Mataifa ya wenzetu HAYANA USIRI pamoja na kuwa na UWAZI kwenye mambo yenye maslahi ya kitaifa na makampuni yao. Tofauti na hapa kwetu.

REPORT; Tanzania itapata 5% (Sio 70% kama Magufuli alivyosema na kuwaaminisha Raia), Ugands itapata 15%, wakati CNOON Ltd itapata 8%, na 72% zitachukuliwa na kampuni nguli kutoka nchini France ya TOTAL.

View attachment 1762911

HOJA YANGU;

Sio Tanzania kupewa asilimia chache (5%) katika hio project, hapana, hata tungepewa 2% isingekuwa tatizo. ila point ni "KWANINI VIONGOZI WALITUMIA UONGO KUWAAMINISHA WANANCHI".

Hii sio mara ya kwanza viongozi wa nchi kudanganya raia, ilitokea kwenye;

1) Swala la ATCL kuwaaminisha watanzania kwamba shirika linafanya kazi kwa "FAIDA" kupelekea hata kuipa serikali gawio la faida.

2) Swala la Corona, raia walidanganywa na kuaminishwa kwamba hakuna Corona nchini, ila watu wengi walipoteza maisha kwa Corona (Mpaka baadhi ya Viongozi Wa Vyama Vya Upinzani na Maproffesor Wa Ngazi Za Juu).

3) Swala la kuaminisha watanzania kwamba hakuna ufisadi na upotevu wa hela za wanyonge katika serikali ya awamu ya 5. Ila report ya CAG imetoa hati mbaya kwa baadhi ya wizara kwasababu ya matumizi makubwa ya pesa za watanzania (Wizara nyingine kutumia hela zaidi ya budget walizowekewa).

4) Swala la makinikia, tuliaminishwa tunaibiwa sana nje ya makubaliano ya mkataba, na kwamba tutalipwa fidia ya ma trillioni, sawa na Noah 1 kwa kila raia wa tanzania. Ila mpaka rais ametangulia mbele ya haki hakuna hata dalili ya kulipwa hio fidia.
Hayati alikua anadanganya sana . hajuwahi kuwa mkweli. Nadhani alikua anapiga jaramba kwenda kudanganya malaika
 
magufuli hakuwahi kusema 70% bali alisema ni 60% mlaghai no moja ni wewe

mpk hapo uzi wako hauna maana tayari ushauchafua mwenyewe (upo kishabiki sana)
 
Updates

Bank za nchini Ufaransa ambazo zilikua tayari kuikopesha kampuni ya Total kwaajili ya ujenzi wa bomba la mafuta tokea Uganda mpaka Tanzania (Tanga), zimekataa kutoa mkopo huo.

Project ipo gizani.
Nyuzi zako nyingi nilikuona unatoa vitu vyenye akili ila hili umepuyanga ukichanganywa na mihemko na chuki za kisiasa. Unakuja kukosoa kisa imetajwa gawio la mauzo wakati Hayati alizungumzia mauzo na manufaa mengine yote kwa ujumla. I'm sorry jamaa ila wewe ni trash
 
Mleta mada anaufahamu wa viwango duni mno;

Kama bomba linapita kwetu kwa 70% haoni kwamba ni sahihi kusema tutanufaika kwa asilimia hizo hizo kutokana na faida mbali mbali zitokanazo na uwepo wa bomba hilo, mfano ajira na tozo mbali mbali.

Ukiachana na ajira na tozo hiyo 5% naiona kama nyongeza na ni nyingi sana kwa kitu ambacho hata sio chetu.

Simple logic ambayo mleta mada na bavicha wenzake hawawezi kuwa nayo.
 
Hoja hupingwa kwa hoja na sio matusi, watu mliokosa hoja kukimbilia kwenye matusi ni rahisi sana maana unataka kuchangia ili uonekane na ww umechangia au unalijua jambo ht km hulijui ila tatzo linakuja huna cha kuchangia, so the only option you are left with ni matusi...

Km mkataba ungefichwa ht ww usingezijua hizo %...kuna tofauti ya mkataba kufichwa na wewe kutokua na taarifa kamili, ushuri wangu nenda katafte proper information kabla ya ku argue, uwe na all the facts ukishazipata njoo tu argue km great thinkers...

Na uache kuandika kwa maandishi makubwa km watoto wa primary school.

KWA AKILI YAKO KUTUAMBIA KUWA NCHI ITAPATA 5% NDIO KUTUONESHA DETAILS ZA MKATABA? HEBU TOA REFERENCE YA HUO MKATABA UNASEMA HAUJAFICHWA! UTATAFUTA WAPI HIZO FACTS WAKATI MNAZIFICHA MPAKA MCHOKONOLEWE NYIE WEZI!
 
Habari Wana Jamvi,

Katika pita pita za kuchambua, kudadisi, kufuatilia, kuchunguza na kuperuzi baadhi ya mambo yanayo endelea kwa maslahi ya taifa letu, mara baada ya report ya CAG kutoka na baadhi ya raia kuhoji kuhusu hatima ya project ambazo aliacha Marehemu Magufuli.

Raia tumefumbuliwa macho na CAG (Japo kuna baadhi yetu tulikua macho kibishi bishi kweli, hata kipindi Marehemu alipojaribu kutumwagia pilipili na upupu machoni ili tuyafumbe, na aliona haitoshi akaamua kututoboa macho kabisa tusione).

Nimekutana na hii issue ya project ya bomba la mafuta, ambayo nimeileta kama hoja binafsi mbele ya "BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA JAMIIFORUMS" ijadiliwe. Mheshimiwa Speaker, naomba muongozo niwakilishe hoja;

Nirudi kwenye mada husika,

Hivi karibuni, mara baada ya Rais Mama Samia kuapishwa tu, siku ya pili alifanya ziara ya kikazi kwenda nchini Uganda kufuatilia makubaliano yaliofikiwa na Rais Museven pamoja na Marehemu Magufuli.

Project hio ambayo inategemewa kuwa ndio bomba refu zaidi duniani la kusafirisha mafuta, lenye thamani ya Mabillioni Ya USD, ambalo linatarajiwa kuwa na;

1) Bomba Zenye Unene Wa 24" (Insulated 24 Inch Pipeline).

2) Ujazo Wa 216,000 Bopd (Design Capacity).

3) Bomba Refu Kuliko Yote Duniani Ya Kusafirisha Mafuta Kwa Kuyachemsha (Longest Trace Heated Pipeline In The World).

4) Mafuta Ghafi Mpaka Yenye Nyuzi Joto 45°C (45°C PP).

5) Vituo 16 Vya Usimamizi Na Plant 1 Ya Kukoat Mafuta Ghafi (16 Camps & 1 Coating Plant).

6) Vituo 6 Vya Kusukuma Mafuta (6 Pump Stations PS).

7) Vituo 2 Vya Kupunguza Presha (2 Reduction Pressure Stations PRS).

8) Generator Za Kisasa Katika Kituo PS 3 & PS 5 Na Terminal.

9) Marine Storage & Export Terminal.

Swala la mkataba wa makubaliano wa hio project ya bomba la mafuta liliwekwa wazi na Rais Magufuli alipo mkaribisha chato Rais Museven mnamo mwaka jana, na aliliongelea kabla ya umauti kumfika mwaka huu.

Tanzania iliingia makubaliano na Uganda ya ujenzi wa bomba hilo lenye thamani ya Mabillioni mara baada ya kuipiga chini Kenya (Ambayo awali ndio ilianza majadiliano na Uganda).

Rais Magufuli alisema "Tanzania ndio nchi itakayo faidika zaidi na bomba hilo kwa asilimia 70%" pindi alipomkaribisha Rais Museven chato, jambo ambalo raia waliamini na kufurahishwa sana nchi nzima. Raia kwenye hii project walijua hakika tumepiga bingo haijawahi kutokea katika taifa letu (70% si mchezo).

Binafsi, nlishtuka na mahesabu hayakuingia akilini, yaani Tanzania ipate 70%, halafu 30% Uganda na Kampuni Ya Total wagawane. Ila sikuwa jinsi ila kuamini kwasababu mikataba haikuwekwa wazi.

Hivi karibuni, report zimeanza kuwekwa wazi na wahusika wa project hio (Ikiwemo kampuni kubwa ya Mafuta Duniani TOTAL) mara baada ya Rais Samia kufanya ziaya ya kikazi nchini Uganda na kukamilisha sambamba na kumalizia kazi alioianza Rais aliemtangulia.

Mataifa ya wenzetu HAYANA USIRI pamoja na kuwa na UWAZI kwenye mambo yenye maslahi ya kitaifa na makampuni yao. Tofauti na hapa kwetu.

REPORT; Tanzania itapata 5% (Sio 70% kama Magufuli alivyosema na kuwaaminisha Raia), Ugands itapata 15%, wakati CNOON Ltd itapata 8%, na 72% zitachukuliwa na kampuni nguli kutoka nchini France ya TOTAL.

View attachment 1762911

HOJA YANGU;

Sio Tanzania kupewa asilimia chache (5%) katika hio project, hapana, hata tungepewa 2% isingekuwa tatizo. ila point ni "KWANINI VIONGOZI WALITUMIA UONGO KUWAAMINISHA WANANCHI".

Hii sio mara ya kwanza viongozi wa nchi kudanganya raia, ilitokea kwenye;

1) Swala la ATCL kuwaaminisha watanzania kwamba shirika linafanya kazi kwa "FAIDA" kupelekea hata kuipa serikali gawio la faida.

2) Swala la Corona, raia walidanganywa na kuaminishwa kwamba hakuna Corona nchini, ila watu wengi walipoteza maisha kwa Corona (Mpaka baadhi ya Viongozi Wa Vyama Vya Upinzani na Maproffesor Wa Ngazi Za Juu).

3) Swala la kuaminisha watanzania kwamba hakuna ufisadi na upotevu wa hela za wanyonge katika serikali ya awamu ya 5. Ila report ya CAG imetoa hati mbaya kwa baadhi ya wizara kwasababu ya matumizi makubwa ya pesa za watanzania (Wizara nyingine kutumia hela zaidi ya budget walizowekewa).

4) Swala la makinikia, tuliaminishwa tunaibiwa sana nje ya makubaliano ya mkataba, na kwamba tutalipwa fidia ya ma trillioni, sawa na Noah 1 kwa kila raia wa tanzania. Ila mpaka rais ametangulia mbele ya haki hakuna hata dalili ya kulipwa hio fidia.

Updates

Bank za nchini Ufaransa ambazo zilikua tayari kuikopesha kampuni ya Total kwaajili ya ujenzi wa bomba la mafuta tokea Uganda mpaka Tanzania (Tanga), zimekataa kutoa mkopo huo.

Project ipo gizani.
Tatizo kubwa ni sisi raia. Umbumbumbu unawapa chance wanasiasa kusema chochote wanachojisikia
 
Back
Top Bottom