it doesnt make sense kumshitaki waziri kwa maamumizi aliyoyafanya kama waziri and the somehow believe that mkuu wake wa kazi yuko safi!!! hiki ndicho anachosema Mramba, and he is damn right...
meli ikipotea njia captain ndio anapaswa kuwa mtu wa kwanza kuulizwa sababu za kupotea, sio wasaidizi wake.
nadhani kinachifanya swala zima liwe na ugumu wa ziada ni lugha inayotumika. hakuna haja ya kusema Mkapa avuliwe kinga, cha msingi ni kugeneralize - marais wastaafu au marais wavuliwe kinga. tukisema mkapa avuliwe kinga, kuna wanaojiuliza what about Mwinyi?Haitatokea hata siku moja mpaka CCM wapungue Bungeni Mkapa avuliwe kinga when then?
Wana JF wakiwa kama cross section ya Watanzania wanajua ni yupi kati yangu na wewe ni mtu ambaye yuko "out of touch".
Kitendo cha kutamka tu kwamba "JamiiForums ni cross section" ya Watanzania" kinaonyesha wazi kabisa kwamba uko patently out of touch. vibaya mno. Absolutely out of touch.
Watanzania hawana, achilia mbali internet, au computer, na umeme, au kujua matumizi ya computer, au hata kuisogelea au kuiona hiyo computer, ni kwamba hawajui kusoma na kuandika. Abysmally out of touch.
Wewe unaona ni sawa kwa mtu kupotosha taarifa kwa sababu wewe una luxury ya point-and-click ya kusoma kilichomo ndani. Wenzako inabidi wanunue gazeti kuona kama hicho kichwa cha habari ni cha kweli au uongo.
Unaniuliza kama nimefanya survey kujua kama wasomaji huwa wanapotoshwa na hivyo vichwa vya habari au la. Duuuh. Hujui kwamba nchi mwako hili ni tatizo. Huna habari. Huna sensitivity. Again, irreperably out of touch. Wahariri wa magazeti wananiambia, kuhusu swala hili, kwamba vichwa vya habari "vina kazi yake," vinaandikwa hivyo kwa makusudi. Tafsiri (kama uko out of touch kunyaka hapo), wanasema, gotta eat, somebody gotta lie!
Halisi amekosea kusema Mramba amemtaja Mkapa wakati anakiri ndani ya habari kwamba "hakumtaja Mkapa." Sasa kama hakumtaja, kwa nini kwenye kichwa cha thread useme kamtaja? Kuweni wakweli. Na huwezi kusema ni vibaya kumuita mtu mwongo wakati ni wazi hakusema kweli. Na utetezi anaokuja nao ni kwamba eti hata gazeti la Tanzania Daima limeandika hivyo hivyo. Tabloid la Tanzania Daima ndio mwongozo wako?
magazeti yameandika hii habari kuuza ..ukisoma ndani hakuna mahali alipotajwa mkapa bali imetajwa ikulu...ambayo ni taasisi ...inayojumuisha BARAZA LA MAWAZIRI..ambao wanaaapa [kwa namna yeyote kutooa siri za baraza la mawaziri]...na wanasimama kwenye [collective responsibility].........kikwete ,shein ,pinda ...et al walikuwapo kwenye baraza la mawaziri.....ndio maana tunasema hizi kesi ni za kisiasa....hasa zaidi zikichochewa na chuki ya kikwete kwa mkapa......LAKINI KESI ZA NAMNA HII HUISHIA SERKALI KUSHINDWA....KWANI HAZINA MSINGI IMARA!!!....sasa ameshataja baraza la mawaziri..whats next????
kama si chuki za kikwete kwa mkapa ..yote yanafanyika kwa baraka zake ....mbona hakuwakamata lowassa,karamagi na ibrahim....ambao ushahidi wao waala si wa kumungunya mungunya?????????
si ndio yeye alikuwa watu wake kwa maelekezo yake walikuwa wakisimamia mkapa atukanwe kila siku magazetini?????.....then alipoona kumbe kazi ngumu akliwa songea ...akajibaraguza kwa kusema ..anaomba waandishi wamuache mkapa??
visasi tu!!!... leo hii vinapelekea hadi chama cheti imara kama ccm kinageuzwa cha kidini.....umeona wapi ratio za uongozi chamani zimefikia unrealistic representation of the members or country demographic population kiasi huki??...LEO HII KAMATI KUU ASILIMIA 80% SITAFUNI MANENO ...NI WAISLAMU ...WHAT IS THIS MOCKERY???
SAFU ZA VIONGOZI ASILIMIA ZAIDI YA 80%....TAZAMA HADI KWENYE JUMUIA .....ZA CHAMA ........SIJAANGALIA VEMA HALMASHAURI KUU PALE...LAKINI HII HAITUPELEKI PAZURI KAMA TAIFA????...LAZIMA UONGOZI UWEKE RATIO ZETU SAWA UWAKILISHI KIDINI ,KABILA .....HATUNA KAWAIDA YA KUUONGEA WAZI...LAKINI SI WA KUUDHARAU...!....AU MNATAKA TUKIKIE KAMA KWENYA KUANZA KUDAI NAFASI ZA UTEUZI WAZI KIDINI,KIKANDA AU KIKABILA..KIJINSIA??
MAANA KENYA NDIO WAMEFIKA HAPO...HAWAMPI RAIS FURSA KUTEUA KIUTASHI ..AKIJIUZULU KIONGOZI ..KAMA ALITOKA NYANZA ...KESHO YAKE WAZEE WA NYANZA WANAENDA IKULU NA MAJINA YA VIJANA WANAOWATAKA MMOJA WAO NA KUMPA RAIS ....NA INABIDI ATEKELEZE..! WAMEFIKA HAPO BAADA YA WANASIASA KU ABUSE ...FURSA YAO YA KUPANGA SAFU ZA UONGOZI KWA USAWA!!
Safu ya wajumbe wa kamati kuu hii hapa Website Rasmi ya Chama Cha Mapinduzi - CCM as you will see hiyo hesabu uliyotoa haiko sahihi. also note kuwa wajumbe wa Zanzibar ndio wanadetermine ratio itakavyokuwa, hivyo basi kama unaona kuna haja ya kuivalisha CCM udini then ni bora ungesema CCM Zanzibar wanapendelea waislam, kwa sababu wajumbe toka Zanziba wote ni waislam. Ukiangalia wajumbe toka bara utaona uwiano uliopo - thats if you have chosed to be objective, otherwise endelea na propaganda.
hakuna propaganda wala nini....???..i am also ccm member...
since it seems you are best placed to denounce my comment...naomba utuwekee basi list ya wajumbe wa kamati kuu!!,halmashauri kuu ,safu za viongozi jumuiyani etc...
tuache siasa ..hatuwezi kuwa na moral authority ya kusema CUF ni wadini AU chadema ni wamajimbo.....kama hatuondoi vibanzi...au watu hawataki kasoro za uchaguzi wa ndani ziongelewe!!
Angalia original post niliyokujibu then weka arrow ya PC yako kwenye maandishi ''website rasmi ya CCM'', utafunguka ukurasa wenye majina ya wajumbe wa kamati kuu.
Nd. Pius Msekwa
Makamu
Mwenyekiti (Bara) <!--[if !supportLineBreakNewLine]--><!--[endif]-->
Nd.Jakaya M.Kikwete
Mwenyekiti
Nd. Amani A. A. Karume
Makamu Mwenyekiti(Zanzibar)
1. Ndugu Kakaya Mrisho Kikwete - Mwenyekiti
2. Ndugu Pius Msekwa - Makamu Mwenyekiti (Bara)
3. Ndugu Amani Abeid Amani Karume - Makamu Mwenyekiti(Zanzibar)
4. Ndugu Yussuf R. Makamba - Katibu Mkuu
5. Capt. (mst) George Huruma Mkuchika - Naibu Katibu Mkuu (Bara)
6. Ndugu Salehe Ramadhan Ferouz - Naibu Katibu Mkuu (Zanzibar)
7. Dr. Ali Mohamed Shein - Mjumbe
8. Ndugu Edward Ngoyai Lowassa - Mjumbe
9. Ndugu Shamsi Vuai Nahodha - Mjumbe
10. Alhaj Ali Hassan Mwinyi - Mjumbe
11. Ndugu Benjamin William Mkapa - Mjumbe
12. Mzee Rashid Mfaume Kawawa - Mjumbe
13. Dr. Salmin Amour - Mjumbe
14. Ndugu John Samwel Malecela - Mjumbe
15. Capt. (mst) John Zefania Chiligati - Mjumbe
16. Ndugu Amos Gabriel Makala - Mjumbe
17. Ndugu Bernard Kamilius Membe - Mjumbe
18. Ndugu Kidawa Hamid Saleh - Mjumbe
19. Ndugu Samwel John Sitta - Mjumbe
20. Ndugu Pandu Ameir Kificho - Mjumbe
21. Ndugu Anna Abdallah - Mjumbe
22. Ndugu Rostum Aziz - Mjumbe
23.Dr. Mohamed Gharib Bilal - Mjumbe
24. Ndugu Pindi Hazara Chana - Mjumbe
25. Ndugu Andrew Chenge - Mjumbe
26. Dr. Maua Abeid Daftari - Mjumbe
27. Ndugu Samia Suluhu Hassan - Mjumbe
28. Ndugu Mohamed Seif Khatib - Mjumbe
29. Ndugu Haji Omar Kheri - Mjumbe
30 . Dr. Abdallah Omari Kigoda - Mjumbe
31 . Ndugu Abdurahman Kinana - Mjumbe
32 . Ndugu Anne Semamba Makinda - Mjumbe
33. Ndugu Fatuma Said Ali Mchumo - Mjumbe
34 . Ndugu Zakia Hamdan Meghji - Mjumbe
35. Ndugu Omar Yussuf Mzee - Mjumbe
36. Ndugu Emmanuel John Nchimbi - Mjumbe
37 . Ndugu Ali Ameir Mohamed - Mjumbe
38. Ndugu Yussuf Mohd Yussuf - Mjumbe
NDIO NIMEONA KATI YA WAJUMBE 38 WA KAMATI KUU CHOMBO CHA JUU KABISA CHA MAAMUZI 14...NI WAKRSTO NA 24 NI WAISLAMU....ALMOST 70% STILL THAT IS REALISTIC?.....
Kwanza kiri kuwa asilimia 80 uliyosema si sahihi. Pili hata hiyo almost 70 unayosema sasa pia siyo sahihi, fanya hesabu 24/38 * 100 kama utapata namba inayokaribia 70. Tatu account for members from Zanzibar. Nne jiulize kama uko tayari kukubaliana na majibu utakayopata.
Kwani wakati huo nani alikuwa anakaa ikuluSasa mbona umesema kwenye kichwa cha thread kwamba kamtaja Mkapa?
Hivi mbona Watanzania tumezoea kuongopeana?
Niliposoma hoja zako tu nilielewa wazi kwamba wewe ni mdini... Issue inazungumzia Mramba haya maswala ya dini yanatoka wapi.visasi tu!!!... leo hii vinapelekea hadi chama cheti imara kama ccm kinageuzwa cha kidini.....umeona wapi ratio za uongozi chamani zimefikia unrealistic representation of the members or country demographic population kiasi huki??...LEO HII KAMATI KUU ASILIMIA 80% SITAFUNI MANENO ...NI WAISLAMU ...WHAT IS THIS MOCKERY???