KUMEKUCHA!!!Maandalizi ya kifungua kinywa.

PROF NDUMILAKUWILI

JF-Expert Member
Mar 25, 2016
10,518
13,135
4f425b1b0551ac842417de8852a10da9.jpg
 
Titi hi???
Hey jovie, call me munda,sounds sexy too.
Nimekumbuka last christmass. Kishumundu kwa bibi nlipika sana hizo chapati legevu.ukitaka uhondo zaidi shurti uweke mayai ya kutosha, ukatie hoho,karoti kidogo na kitunguu,chumvi kwa mbali sukari nayo kwa nukta na iliki. kitu kinatoka kama 'omlette Au Fromage'.
 
Hey jovie, call me munda,sounds sexy too.
Nimekumbuka last christmass. Kishumundu kwa bibi nlipika sana hizo chapati legevu.ukitaka uhondo zaidi shurti uweke mayai ya kutosha, ukatie hoho,karoti kidogo na kitunguu,chumvi kwa mbali sukari nayo kwa nukta na iliki. kitu kinatoka kama 'omlette Au Frumage'.
Hahhaaa chitakii nataka kutaka...
Hey jovie, call me munda,sounds sexy too.
Nimekumbuka last christmass. Kishumundu kwa bibi nlipika sana hizo chapati legevu.ukitaka uhondo zaidi shurti uweke mayai ya kutosha, ukatie hoho,karoti kidogo na kitunguu,chumvi kwa mbali sukari nayo kwa nukta na iliki. kitu kinatoka kama 'omlette Au Frumage'.
 
Ohooo,sasa siuongee tu na Mr atengeneze mazingira salama ya kutupiamo , mambo yawe biloko nangai.
jiana ume zima hata kujiongeza huwezi yani mm nimekwambia wewe iliujue jinsi ya kunisaidiaaa... Kwani yeye sikumuona mpk nikwambie wewe..

Hizo ni dalili utakuwa mwanaume wa dar bila shakaas...,,,,, ngoja nikalale na genye znguuu....
 
Umenichekesha aisee.asa sinajaribu kuwa gentomeni jamanii,kumbe nlitakiwa niingie na gia ya team fisi.?
 
Ovyoooo
"Usione vyaelea, vimeundwa"

"Behind every successful man there is a woman"

Una nguvu na uwezo wa kumfanya mwanaume awe nazo! Tengeneza mwanaume wako ili baadae akuthamini au angalau akushukuru.
Wachache wanapata ready made men!!! Ila wengi wanaanza pamoja from zero to hero. Ata ikatokea ukampata ambae hana kitu, ilimradi yuko physically able na mwenye nia na moyo wa maendeleo... Unaweza mshika mkono ukamuongoza na kumsapoti."

Usiwaze mamalai, mapenzi hayachagui na maisha usiyakariri, muombe Mungu akupe furaha na amani maishani zaidi kuliko utajiri na mali.

Umenichekesha aisee.asa sinajaribu kuwa gentomeni jamanii,kumbe nlitakiwa niingie na gia ya team fisi.?
 
Back
Top Bottom