Mkuu huyo mtu BAN za siku 3 amezizoea apigwe 4 monthBahati nzuri huyo aliyeuanzisha huo uzi tayari ameshakula BAN / Umeme. Mpeni pole sana huko aliko mapumzikoni na mwambieni GENTAMYCINE naendelea zangu tu kutiririka na kuserereka na Mtandao wangu pendwa wa JamiiForums kwa raha zote.
Basi sawa.....Mpaka aniombe radhi tena nampa sasa dakika tano ( 5 ) asipofanya hivyo naghairi na lawama zenu zote mpeni huyo Jamaa.

Mchezo Huu Hauitaj HasiraMkuu, ujue tunaheshimiana. Na kama umetibuana na huyo member Kibudu sisi haituhusu.
Nahesabu dakika zilizobaki 14 tu hapa
Kuna zoezi nimeacha kulifanya ili ninase habari yako mkuuMpaka aniombe radhi tena nampa sasa dakika tano ( 5 ) asipofanya hivyo naghairi na lawama zenu zote mpeni huyo Jamaa.
Konyo Ndukum kola.
ungejua tafsir usingewashwa kujib
joder yo mamA

Kuna zoezi nimeacha kulifanya ili ninase habari yako mkuu
2 minutes to goLa kumbaioloji Mtu au kubaiolojiwa Wewe Mkuu?
Leo shemejiyangu amevurugwa kwenye dakika za majeruhi......Mchezo Huu Hauitaj Hasira

Bado dakika 1Kuna zoezi nimeacha kulifanya ili ninase habari yako mkuu
Leo mjanja wew
Pasuwaaaaa.......Haya mpo tayari kwa ' Kitu ' Wadau? Mna Kifua lakini kwani ama hakika ' Kitatikisa ' na kuwa ' gumzo ' mno humu JamiiForums.

Bado dakika 1