Mkuu nimekaa na moja habari jirani, timu yetu ishinde ili vizabina zabina vikose la kusema na tupate kupumua.Kina chakaza wa hapa jf wamenuna
Yanatia sana kinyaaa kwakweliMkuu nimekaa na moja habari jirani, timu yetu ishinde ili vizabina zabina vikose la kusema na tupate kupumua.
Wala hujakoseaUongo Mbaya. Makonda anajua kucheza na matukio. Mweh. Akaona achague mechi tunayocheza na vibonde wenzetu.
Uongo Mbaya. Makonda anajua kucheza na matukio. Mweh. Akaona achague mechi tunayocheza na vibonde wenzetu.
Rudi nyumbani kumenoga!Bado niko Harambee Stars
Me too dearBado niko Harambee Stars
....count me in!Bado niko Harambee Stars
Wabunge wataonekana kama mavi tu. Tanzania ikishinda leo Makonda atapata points nyingi mno.Mganga wake atakuwa ni balaa..
But sipati picha huu ushindi ukidumu till mwisho, sijui huko bungeni 😂
Natumaini kama wachezaji wetu wataacha 'aimless passes ' na 'poor positioning ' Taifa stars tutashinda.Bado niko Harambee Stars
Sawa Mwl. KashashaNatumaini kama wachezaji wetu wataacha 'aimless passes ' na 'poor positioning ' Taifa stars tutashinda.
Haohao unaowaona vibonde kuna watu walisema hatuchomoi mbele yao!Uongo Mbaya. Makonda anajua kucheza na matukio. Mweh. Akaona achague mechi tunayocheza na vibonde wenzetu.