Kumekucha huko misri namuona Makonda hapa...

Kumekucha huko misri namuona Makonda hapa...

Shikamoo mzee Crimea kama uko hai maana kwa post unaweza ukawa uliji chujulia hatua kama watu wa Iringa!
Nilikuona sana ulivyo Anza kuloana baada ya kile kipindi cha kwanza!

Ok stars imefungwa, chadema mmeemda ikulu?
 
Nilikuona sana ulivyo Anza kuloana baada ya kile kipindi cha kwanza!

Ok stars imefungwa, chadema mmeemda ikulu?
Ha haha! Usidhani tunacheka kwa kuwa tuna furaha! la hasha, hakuna mzazi apendaye mwanae kuumizwa hata kidogo lakini tumechukuzwa na Makonda kugeuza mafanikio ya Stars kuwa ya chama chake.
Unadhani wachezaji wasio wa chama chake wanafahari na kuifia timu? hapana.
Hali ilibadilika kuanzia mechi ya Cranes, umoja ndio ulipoanza kupotea. Mwambieni kijana wenu aache kuharibu mambo kwa style ya kizamani mno
 
Back
Top Bottom