Na mimi ntakuunga mkono kwenye hili...mimi ntaenda kabsa ofisini kwao kuchukua KADI ya CHADEMA hadharani.....wakirudi baada ya hiyo wiki moja na kukueleza hayo uliyoyasema nahamia ukawa siku hiyohiyo
Na mimi ntakuunga mkono kwenye hili...mimi ntaenda kabsa ofisini kwao kuchukua KADI ya CHADEMA hadharani.....wakirudi baada ya hiyo wiki moja na kukueleza hayo uliyoyasema nahamia ukawa siku hiyohiyo
No pain, no peace, lazma baadhi yetu tuumie wengine waishi kwa raha mustarehe, hiyo ndo formula,Endelea kujidanganya utajua muda ukifika watu sasa wamechoka
MKuu hivi haufahamu kama CCM ndio wamekupa kiburi cha kuandika ulicho andika hapo juu????Nikianzisha uzi sitaki CCM achangie,kitakachokupata usilamu
Mkuu hizi ni mbwembwe tuh za HAWA VIJANA wanatafta kiki kwa kutoa matamko ili TUJUE NA WENYEWE WAPO....hIVI TOKEA HUU MWAKA UMEANZA UMESIKIA MATAMKO YAO MANGAPI??? nA KATIKA hayo matamko ni lipi limeleta positive impact kwa wanachokipigania???......Me nahisi wanakula posho kwenye haya matamko yao si bure maana ni mengi kweli.....Kuna watu wanatafuta ulemavu kwa nguvu.
Watazuia kikao ambacho rais atakuwepo?
Hatuja fikia HATUA hiyo na hatutafikia..... EBU ACHENI KUJIFARIJI na VITAMKO vyenu VYA POSHO maana mna matamko mengi kweli ndani ya mwaka huu.....HUU NI MRADI SI BURENaona ya Pemba Yanajongea Bara...
Ogopa mtu aliekata tamaaKuna watu wanatafuta ulemavu kwa nguvu.
Watazuia kikao ambacho rais atakuwepo?
Hawafai kivipi wakati tayari ni viongozi?punguza hisia!hili ndo tatizo kujiona mnajua kila kitu kumbe upande wa pili wana uwezo pengine kuwashinda!nchi yetu sote tuishi kwa kusikilizana na kuvumiliana!haya mambo yanaanza hivihivi kama utani,juzi waligomea vikao vya NS,jana wamekataa kushiriki kwenye futari leo wamesusia hili na kesho jingine!wenye akili lazima watafakari.Hili tamko ni kipumbavu Sana hawa watu tuwaogope kuliko ukoma. Hawafai kuwa viongozi.
Teeeeeeeh, teeeeeeeh, mkuu hapa nimefurahi kweli kabisa maana hata mimi kuna gamba nimelitimuaNikianzisha uzi sitaki CCM achangie,kitakachokupata usilamu
mkuu naomba muwe mnatuletea mrejesho wa hayo mnayoyataka kila wiki hapa,tuone faida mlizopata mpaka muda huo ni zipi kutoshirikiana na wengine kwa loloteOgopa mtu aliekata tamaa
Dah, maridhiano kwenye siasa ni jambo la busara sana, lakin siku zote ubabe una demand ukatili na kibri
Dawa ya Dharau kibri, wenye hekima na busara nchi hii mbona wapo wengi?
Dr Tulia, inteligence never trumps wisdom, source imeanzia huko bungeni,hakuna anegeuza shingo, let it happen that if we cant live like brothers, let us perish like fools
basi waambie wachukue hicho kiburi walichonipaMKuu hivi haufahamu kama CCM ndio wamekupa kiburi cha kuandika ulicho andika hapo juu????
Na longomnatapatapa, kila siku mnakuja na vioja. mwisho wenu umeshafika.
Tumia akili wewe.... Nyie si ndio mmeanza kututenga kuanzia bungeni?Inanisikitisha sana kuskia upuuz kama huu, yaani mmekaa mkafiria sasa twende tukawatenge wananchi kwa itikadi zenu kipuuzi puuzi tuu, kwa taarifa yenu muishie huko huko mtengane hukohuko, watu wafarakane kwa kutetea matumbo ya watu wachache, sio siri huku ndio mnako force tuelekee