Tony antony
JF-Expert Member
- Nov 17, 2013
- 4,988
- 3,270
hahaha sio mbuyu wenu huu mnaoutaka,kama mlitaka mbuyu mngeanza toka enzi zile za JK,especially kule arusha ambapo kila siku mlikuwa mkiandamanaHata mbuyu ulianza kama mchicha
hahaha sio mbuyu wenu huu mnaoutaka,kama mlitaka mbuyu mngeanza toka enzi zile za JK,especially kule arusha ambapo kila siku mlikuwa mkiandamanaHata mbuyu ulianza kama mchicha
Endelea kujidanganya utajua muda ukifika watu sasa wamechokaukisikia mbwembwe ndo hizi,wanafikiri bara ni sawa na zanzibar??kama wao wanajitenga wajitenge tu,waanze na kuwatenga na mama zao na baba zao maana baadhi yao ni wanaccm,hawatoamini na macho yao hayo wanayoyaongea yataishia hapohapo........
Mtavuna mlichopanda.Inanisikitisha sana kuskia upuuz kama huu, yaani mmekaa mkafiria sasa twende tukawatenge wananchi kwa itikadi zenu kipuuzi puuzi tuu, kwa taarifa yenu muishie huko huko mtengane hukohuko, watu wafarakane kwa kutetea matumbo ya watu wachache, sio siri huku ndio mnako force tuelekee
Sasa tulia basi mbona unatokwa na povu wakati hilo tamko ni la BAVICHA, ongelea matamko ya UVCCMhahaha sio mbuyu wenu huu mnaoutaka,kama mlitaka mbuyu mngeanza toka enzi zile za JK,especially kule arusha ambapo kila siku mlikuwa mkiandamana
Hahahaaakikinuka kila mtu afe na chake
ni rahisi kuongelea nyuma ya keyboard kuliko kutoka na kutekeleza hicho unachokitakaEndelea kujidanganya utajua muda ukifika watu sasa wamechoka
Kwanza naona unanizidishia mihasirani rahisi kuongelea nyuma ya keyboard kuliko kutoka na kutekeleza hicho unachokitaka
as long as taarifa imeletwa jf mtu yeyote anaruhusiwa kucomment,ukiweza nipige ban na kama mlitaka moungelee matamko ya bavicha peke yenu wana chadema mngejifungia ufipani hukohuko mkajadili kuliko kuwaita na waandishi wa habariSasa tulia basi mbona unatokwa na povu wakati hilo tamko ni la bavicha, ongelea matamko ya uvccm
Endeleeni kujidanganya!UZURI ni kwamba WATANZANIA hatujafikia level hii ya kufanya MAIGIZO mnayotaka tufanye..afu MKAE MJUE vyama vya SIASA SI DINI ZETU wala MAKABILA YETU kiasi kwamba inaweza tenganisha umoja wetu.....NA KATIKA HILI MNAJIDANGANYA maana CDM haina ushawishi wowote kwa WATANZANIA kwa kipindi hichi ambacho WATANZANIA wote tunamuona MAGUFULI NDIO MKOMBOZI WETU.....kuthibitisha hili tuone kama mtafanikiwa mnachotaka kukifanya.....
AFU na nyie BAVICHA ebu mtuambie TOKEA huu mwaka umeanza mmeisha toa matamko mangapi juu ya SERIKALI HII na JE MAFANIKIO yenu juu ya HAYA MATAMKO ni yepi???...EBU TUPENI MREJESHO ili tuwasapoti katika hili....MAANA TUMEISHA WACHOKA NA MATAMKO YENU YA SIYO KUA NA KICHWA WALA MIGUU
Mkuu unaonaje wanachofanya polisi dhidi ya mikutano ya vyama mbadala ni sahihi?UZURI ni kwamba WATANZANIA hatujafikia level hii ya kufanya MAIGIZO mnayotaka tufanye..afu MKAE MJUE vyama vya SIASA SI DINI ZETU wala MAKABILA YETU kiasi kwamba inaweza tenganisha umoja wetu.....NA KATIKA HILI MNAJIDANGANYA maana CDM haina ushawishi wowote kwa WATANZANIA kwa kipindi hichi ambacho WATANZANIA wote tunamuona MAGUFULI NDIO MKOMBOZI WETU.....kuthibitisha hili tuone kama mtafanikiwa mnachotaka kukifanya.....
AFU na nyie BAVICHA ebu mtuambie TOKEA huu mwaka umeanza mmeisha toa matamko mangapi juu ya SERIKALI HII na JE MAFANIKIO yenu juu ya HAYA MATAMKO ni yepi???...EBU TUPENI MREJESHO ili tuwasapoti katika hili....MAANA TUMEISHA WACHOKA NA MATAMKO YENU YA SIYO KUA NA KICHWA WALA MIGUU
Vp kuhusu zuio la mikutano ya ukawa na kuruhusu ya ccm unalionaje hili,usijibu kwa ushabiki jibu km mtu mwe hofu ya munguInanisikitisha sana kuskia upuuz kama huu, yaani mmekaa mkafiria sasa twende tukawatenge wananchi kwa itikadi zenu kipuuzi puuzi tuu, kwa taarifa yenu muishie huko huko mtengane hukohuko, watu wafarakane kwa kutetea matumbo ya watu wachache, sio siri huku ndio mnako force tuelekee
...Zakuambiwa Changanya n.a. zako...MAMBO yanazidi kwenda mrama kati ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), anaandika Dani Tibason. Msimamo uliotolewa na Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA) unaakisi mwanzo mpya wa msuguano wa kisiasa nchini.
Tayari BAVICHA wametangaza msimamo wa kutoshirikiana na vijana wa CCM katika tukio la aina yoyote. Mbali na kutangaza msimamo huo pia wametangaza kuzuia mikutano yote ambayo itaandaliwa na CCM kama inavyozuiwa ya CHADEMA.
Msimamo huo umetolewa leo na Julius Mwita, Katibu Mkuu wa BAVICHA wakati akizungumza na waandishi wa habari Dodoma.
Mwita amesema, kutokana na kitendo cha Serikali ya CCM kushirikiana na Jeshi la Polisi kuzuia mikutano ya Chadema kinaonesha wazi kuwa, serikali ina mpango wa kuhakikisha inaua upinzani jambo ambalo haliwezi kukubalika.
Amesema, kutokana na hali hiyo kwa sasa BAVICHA wametangaza kutoshirikiana na vijana wa CCM katika mazingira yoyote ikiwa ni pamoja na katika masomo, nyumba walizopanga, misiba na katika majamga mengine mbalimbali.
“Kutokana na kuwepo kwa vitendo vya kikatili vinavyofanywa na Serikali ya CCM vya kuzuia mikutano ya upinzani, sasa tunatangaza sisi vijana wa Bavicha hatutashirikiana na wanachama wa CCM kwa njia yoyote ya kijamii wala kimaendeleo.
“Natangaza kwa vijana wote wa CHADEMA hatutashiriki katika mazizi, hatutashiriki kusoma nao wale waliopo katika vyuo, hatutashiriki sherehe mbalimbali zinazowahusu wao wala hatutashiriki katika jambo lolote la kimaendeleo, na hii ni msimamo wetu.
“Pia tunawapongeza wabunge wetu kwa kususia shughuli zote za ambazo zinafanywa na CCM kwani kwa kufanya hivyo inaonesha kuwa sasa tumechoka na uongozi wa kiimla,” amesema Mwita.
Hata hivyo amedai, Rais John Magufuli ni muoga kuliko marais wote kwa kuwa ni rais ambaye hapendi kukosolewa na kuambiwa ukweli pale ambao amekuwa akikosea jambo ambalo anatakiwa kujitafakari na kujikosoa.
“Sasa vijana vijana tumejipanga kuhakikisha Jeshi la Polisi linazuia mikutano au mikusanyiko ambayo inafanywa na CCM na ikumbukwe kuwa, 23 Julai mwaka huu CCM watakuwa na vikao vya kumkabidhi rais Magufuli kuwa mwenyekiti wa CCM.
“Sasa tunataka Jeshi la Polisi kuzuia mkusanyiko huo na kama haitawezekana vijana wa CHADEMA na UKAWA watazui mikutano hiyo.
“Haiwezekani mikutano ya CHADEMA ikawa ndiyo inayozuiliwa wakati mikutano na mikusanyiko ya CCM inaendelea kufanyika, jambo hili kamwe haiwezi kukubalika na tunasema sasa imefika mwisho wa uvumilivu,” amesema Mwita.
Edward Simbeye, Katibu Mwenezi BAVICHA amesema, yeye ndiye mratibu wa mahafali za wanafunzi wa CHADEMA vyuo vikuu (Chaso) nchini hivyo polisi walipaswa kumkamate yeye na si kuzuia mahafali hayo.
Hiyo misuguano yenu isije kutusumbua tusiokuwa na kadi,maana mmeshajiona sasa ndio wenye nchi wakati watanzania zaidi ya million 30 hawazijui hata kadi za vyama.
MKUU usisahau kutupa mrejesho baada ya WEEK moja mtuambie mmefanikiwa kwa kiasi gani???....NA FAIDA MTAKAZO PATA KWENYE HILI......Huo ndio msimamo wa bavicha, upende husipende na watu tupo tayari kujiunga na ushauri wao, we nani hadi unawasemea watanzania?
wakirudi baada ya hiyo wiki moja na kukueleza hayo uliyoyasema nahamia ukawa siku hiyohiyoMKUU usisahau kutupa mrejesho baada ya WEEK moja mtuambie mmefanikiwa kwa kiasi gani???....NA FAIDA MTAKAZO PATA KWENYE HILI......
Weka akiba ya maneno, mbuyu ulianza kama mchicha, mark my wordukisikia mbwembwe ndo hizi,wanafikiri bara ni sawa na zanzibar??kama wao wanajitenga wajitenge tu,waanze na kuwatenga na mama zao na baba zao maana baadhi yao ni wanaccm,hawatoamini na macho yao hayo wanayoyaongea yataishia hapohapo........
mambo haya huanza kma utani tu ni bora tujitasimini tuanze kuona jonsi ya kuzuia na sikubeza hivi hivi hawa jamaa kma leo wamepata ujasili wa kusema haya hazarani kunasiku watafanya vitendo hata isipokuwa leo!! enzi za awamu zilizopita hatukuyasikia haya, amani inamhusu kila mtanzania na ukiona mmoja amesaliti umoja ujue ni dalili mbaya hii.Inanisikitisha sana kuskia upuuz kama huu, yaani mmekaa mkafiria sasa twende tukawatenge wananchi kwa itikadi zenu kipuuzi puuzi tuu, kwa taarifa yenu muishie huko huko mtengane hukohuko, watu wafarakane kwa kutetea matumbo ya watu wachache, sio siri huku ndio mnako force tuelekee