Kumekucha CCM ajenda za kumfukuza chama Lowassa karibuni kutimia

Kumekucha CCM ajenda za kumfukuza chama Lowassa karibuni kutimia

Inasikitisha kuona hapa watu wanavyosema thubutu kumuondoa EL CCM itakufa. Ina maana EL yuko juu ya Chama?
Watu hawaongelei sera za Lowassa ni zipi, wanaongelea uwezo wake wa kutoa rushwa na ndicho wanashabikia. Hivi nchi hii tunaenda wapi? Ehe Mungu tuepushe na kikombe hiki.
 
Tarifa hii inakosa uhalali kwa kuwa mwandihi ni kibaraka wa lowasa hapo wanatengeneza mazingira ili asifukuzwe kwa akili yake anawahadaa watanzania na wenye chama ili wasifanye maamuzi kubenea zuzu kweli.
BWANA Simuyu yetu
Kwa kuwa wewe ni mpambe waheshiwa hao wawili ulioweka picha zao sio kama una uhalali wa kuwaita wenzio vibaraka tayari wewe ushaonyesha masilahi yako yapo wapi.Kwanza pro Jakaya kama sio lowasa asingelikuwa Rais hivyo msiwachonganishe hao marafiki,au pia wewe ushaahidiwa nafasi ya mkurugenzi wa habari?
 
Prof. Ni mjinga, ila hawezi kufanya ujinga uliotukuka kama huo. Lowassa ni tumaini letu wanyonge.
 
Prof. Ni mjinga, ila hawezi kufanya ujinga uliotukuka kama huo. Lowassa ni tumaini letu wanyonge.

Capitalist ndio tumaini la wanyonge?acha kujifariji
 
Ningeona una akili sahihi kama ungejibu hoja nilizoandika hapo. Vinginevyo kama kichwa chako gurudumu, hutafika uchagui ujao.



Lowasa Rais ajaye nani wa kumzuia c upinzani hadi magamba yenyewe kwasababu jadi yako kubisha nategemea uzi mrefu wa ubish
 
CC chini ya uenyekiti wa Kikwete haina ubavu kumvua uanachama EL.

Kama JK anaburuza miguu kumfukuza kazi Prof. Muhongo, anaweza vipi kuongoza kikao cha kumvua uanachama EL.

Kama CCM wanashindwa kumfukuza uanachama Mtemi Chenge ambaye kwenye kashfa zote yumo, wanawezaje kumvua uanachama EL ambaye tuhuma zake zoote hazijawahi kuthibitishwa na chombo chochote cha ndani au nje?

Vv[/QUOTE

Kikwete hana ubavu wa kutoa maamuzi magumu mithili ya kumfukuza Lowassa toka magambani. Inasememkana kwenye kikao chao kimoja walipokuwa wanamjadili kutokana na otovu wake wa nidhamu ya chama Hamis Mgeja mwenyekiti wa magamba mkoa wa Shinyanga, Kikwete ilibidi atoke kitini na kumuachia mtu mwingine kuongoza kikao!! Ikumbukwe kuwa Hamis Mgeja ni mmoja kati ya wenyeviti wa magamba huko mikoani wanaompigia debe Lowassa hivyo kumthibiti ilikuwa ni kumgusa Lowassa moja kwa moja.
 
mwinzi akimfukuza mwinzi mwenzake ndani hiyo movie itakuwa ni zuri sana lakini tuache siasa tuseme ukweli ndani ya ccm hakuna aliye msafi wote wachafu wa kupindukia.
 
Nina kati ya watangazania ndani ccm asiyetoa rushwa? Iwe m/kiti S/mtaa ,diwani,ubunge na uraisi wote kitu kimoja hamna haja ya kumsakama EL hakuna msafi hata mmoja

Hakuna anayemsakama.,bali matendo yake ndio yana msakama na hao wapambe wake ndio wanafanya asakamwe,sasa wanaposema akitoswa eti CCM itakufa sasa tukijibu CCM haifa sabau ya mtu mmoja kuondoka ,je huko ni kumsakama?waambieni wapambe wake waache kuleta pumba hapa JF ili asisakamwe
 
Ikiwa hivi ntafurahi sana kwa sababu yeye pia atamwaga ugali. Na zaidi atamfufua Balali!
 
Its up to them waendelee kuiongezea nguvu UKAWA
 
Tarifa hii inakosa uhalali kwa kuwa mwandihi ni kibaraka wa lowasa hapo wanatengeneza mazingira ili asifukuzwe kwa akili yake anawahadaa watanzania na wenye chama ili wasifanye maamuzi kubenea zuzu kweli.

Hayo maneno 'wenye chama' yananikumbusha maneno CCM ina wenyewe.... yeyote anayegusa au anayeonekan kugusa au atagusa maslahi ya wenyewe lazima 'wenyewe' wahangaikd naye
 
Back
Top Bottom