Kumekucha Arumeru

Mwigulu, jamaa anatisha wenye ndoa zenu kaeni macho

Mwigulu ...asicheze na watu wa pande hizo.....jamaa wakikushika na mke wa mtu ..wanapakuwa kinyesi....hawaangalii makunyazi...Mombasa sio mbali ...wanakodi wapakuaji toka mombasa au Tanga...
 
Wana JF anayesema hata kijani hakitakiwi ametoa wapi hizo taarifa mbona mwigulu alikuwa na shati la kijani na alifuatana na vijana wane wenye kijani na jamaa kweli ilikuwa gumzo anayepuuza na apuuze na anayeshambulia mtoa maada anairidhisha nafsi, jamaa kila alipopita watu walipagawa sijui jamaa huyo ana dawa mkoni? Yaani kikatiti ilikuwa kama mkutano wa hadhara, mimi niko chuo habari zimetukuta kule na kuna vijana walimwomba mpaka sikafu kumbe huwa anazo nyingi walimvua akavaa nyingine. Mimi nilishangazwa na jinzi ilivyoenea haraka. Pita maeneo hayo mpaka namba yake ya cm unapewa labda mambo yabadilike kwa sasa pale yaleyale ccm itashida.
 
ismaily subiri utaona uongo ni upi na ukweli ni upi huyo jamaa ana mvuto wa ajabu pita uhakiki usibishe kwa nguvu na kufikiri kwa kutumia masaburi usijifanye usemayp wewe tu ndio kweli tunakwambia yaliojiri bila kujali yanakuudhi su la. Look at u.
 
wabishi mara zote hutengeneza majibu na kuyaamini mimi niliyeko huku nsona buguvugu liko ktk vyuo tu kule mtaan watu naona jammaa wanamfurshis tu. Jamaa naye anafaham saikolojia kilala alikunywa na losholo
 
Wewe uko hapa arusha siku 4, tuulize sisi tunao kaa huku. Kwa taarifa yako hili jimbo ni la cdm, ccm haina chake huku.
 
wabishi mara zote hutengeneza majibu na kuyaamini mimi niliyeko huku nsona buguvugu liko ktk vyuo tu kule mtaan watu naona jammaa wanamfurshis tu. Jamaa naye anafaham saikolojia kilala alikunywa na losholo

Mopa
Kilala alikunywa loshoroo lini? Nauliza maana jana na leo tu ndio siku ambazo sijakuwepo kilala ndani ya wiki mbili hizi.

Usemayo kuhusu kikatiti sitobisha sana sina ushahidi lakini ndio pahala pekee palipo na lami palipobaki kukumbatia CCM (hata maandamano yale ya last year walifanyia hapo hawakugusa sehem ingine arusha).

Mwigulu weza kuwa ana dawa au whatever usemavyo lakini Mheshimiwa si kweli kwamba anaeza kuwapa CCM ushindi East Meru. Mimi ni mzaliwa wa hapa, napajua vyema sana na sote tunajua marehemu Sumari (R.I.P) alipitaje pitaje, ukwe ndio ulimtoa na kura za Ngaboboo.

Sote tunajua alivowakosea shukrani wameru kwenye zile ajira za AFGEM.

Tunajua mwanaCCM mwenzie bwana Kimaro alichowafanyia wameru (huyu alilipwa pale pale).

Unakumbuka maneno ya Washili (wazee wa koo za kimeru) juu ya Marehemu (R.I.P) baada ya matokeo. Na wale wazee wanaheshimika sana na maneno yao ni sheria.

Tetesi juu ya mteule wa CCM kugombea jimbo ni E. Kaaya, Huyu jamaa hatomweza kijana Nassary.

Mwigulu hatoweza, labda aende makambini karamu estate, kwa bwana mdogo, hortanzia etc (hao wengi hawana hata kadi).

East Meru ni Mali Ya Chadema mpaka sasa kwa hali ilivyo.

Nakubali kurekebishwa au kukosolewa
 
Nimefatilia uchangiaji wa thread hii na nikagundua kwamba wengi wanaochangia labda hawapajui Meru ama wanaleta ushabiki tena wa kijinga kwenye mambo yaliyo wazi.
Nipo Meru kabla ya msiba wa mheshimiwa Sumari (RIP) hadi sasa. Nimejaribu kuzungukia maeneo ya M'Chai, Kikatiti, Sakila, Njeku, Maroroni na USA. Eneo hili kiukweli CDM hawana nafasi kubwa sana hasa maeneo ya Kikatiti, Sakila, Njeku na Maroroni. Angalau maeneo ya USA kuna mwamko kutokana na kuwepo kwa vijana wataka mabadiliko.
Si kweli kwamba mtu akikatiza huku na nguo za rangi ya CCM anazomewa ama kupigwa bali khanga na vilemba vya CCM vinavaliwa sana na kinamama wa huku, kama unabisha njoo huku siku ya Jumanne na Ijumaa kuna minada ujionee. Halafu jaribuni kutofautisha Arusha ya Lema na Meru ya Sumari huku kuna watu wa aina mbili tofauti kuanzia msimamo hadi perception.
My take.
Tusiponde watu wanaotwambia ukweli hata kama ni mchungu bali tutumie taarifa hizo kutafuta njia za kuboresha, kiukweli hali ya CDM Meru siyo nzuri sana na juhudi za makusudi lazima zifanywe.
 
cholli wambie maana tunaongelea kilsla mtu anajibu ya arusha. Kujua watu wanasemaje haihitaji mwaka kama ndg yangu ansyesema yeye anakaa huko. Sisi tunasemea jammaa alivyopokelewa nikwamba hata leo akitokea hspa maji ya chai akasimama tu watu wanajaa bila kutangaziwa wakimwona wansmkimbilia. Siku ile tulivyoambiwa na walioshuhudia alipotoka watu walimfuata kwa pikpiki mpaka kikatiti. Ulichosema ni kweli chilli ninavyoona mimi kwa mbinu za jamaa armr iko njema kwa ccm
 
kua huru kimawazo wewe! ARUSHA warudishe kadi za CDM? Labda umetumwa kusema hivyo
 
Sasa mbona mitaa yangu ni maji ya chai ,kikatiti na usa river lakini sijaona yeyote aneikubali ccm? Acha uongo kijana.
 
Hivi Lwakatare alikuwa anaombea watu gani tena? Huyu apelekwe huko
 
Wakuu nipo hapa Arusha siku ya 4 sasa na nimetembelea sehemu kadha wa kadha. Hakika CCM wako vizuri sana kwani baada ya Bw. Mwigulu kupita huku, vijana wamerhamasika kupita kiasi na wengi wamerudisha kadi zao za CDM. Pita maeneno ya Kikatiti, maji ya chai,Usa, Leganga, Kilala, King'ori, Ngarenanyuki,, kwa Pole, Maroroni,Ngurdoto kote hukpo wimbo ni CCM tu. Si dalili nzuri kwa upinzani hasa kuelekea uchaguzi mdogo
hizi comment zinafanana sana na jina lako
 
Back
Top Bottom