tanira1
JF-Expert Member
- Nov 18, 2011
- 942
- 159
sio bure umerogwa ni nani huyo mwenye hamu ya lichama linaloangamiza uchumi lilishindwa kila ilichoahidi maisha bora chali uchumi chali, noti mpya chali,yaani kila kitu chali isipokuwa kulishana sumu tu ndio wako juu sasa huyo anayetafuta kadi ya chama hilo lazima atakuwa kichwa kibovu kama sio laanaWakuu nipo hapa Arusha siku ya 4 sasa na nimetembelea sehemu kadha wa kadha. Hakika CCM wako vizuri sana kwani baada ya Bw. Mwigulu kupita huku, vijana wamerhamasika kupita kiasi na wengi wamerudisha kadi zao za CDM. Pita maeneno ya Kikatiti, maji ya chai,Usa, Leganga, Kilala, King'ori, Ngarenanyuki,, kwa Pole, Maroroni,Ngurdoto kote hukpo wimbo ni CCM tu. Si dalili nzuri kwa upinzani hasa kuelekea uchaguzi mdogo