Kumbukumbu ya kesi ya Sheikh Ponda 2015

Laki...
Naamini umetoa kauli hiyo kuhusu Sheikh Ponda kwa kukosa kwanza kuwa na ujuzi wa kuchagua maneno ya staha yanayostahili kutamkwa hadharani kwa kiongozi wa dini

Pili ni kwa kukosa kutambua hadhi na heshima aliyonayo Sheikh Ponda katika umma wa Waislam wa Tanzania.

Hukustahili kumwita Sheikh Ponda 'mkorofi," kwani si katika sifa zake.

Hupenda unadhani kwa kuwa ni kiongozi wa Waislam unaweza ukamvunjia heshima.

Sheikh Ponda ni kiongozi mkubwa sana wa Waislam kwa kuchaguliwa na wenyewe Waislam na ndiyo maana ana heshima hii aliyonayo.

Fanya staha unapowazungumza viongozi wa dini.

Sijaelewa hapo ulipomtaja Allah na kusema Mwenyezi Mungu kakosewa na Sheikh Ponda.

Kushoto ni Sheikh Ponda, Ado Shaibmmoja wa viongozi wa ACT Wazalendo na Hamza Kassongo katika Kongamano la Maalim Seif Zanzibar.View attachment 2090384
Siasa mbaya sana. Hawa vijana hawaangalii hadji wala utu wa watu. Bali chama Chao cha mbogamboga. Wao chama kwanza/ utu na nchi baadae
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom