Kumbukumbu: Waliomvamia Mbowe kumpiga na kilichotokea Kiuhalisia

Mbowe alianguka baada ya aidha kulewa au kufarakana na Joyce Mukya, siasa zilichomekwa tu ili kuua soo.

Hata Mkapa aliwahi kupigana na mke wake Ikulu, asubuhi wananchi wakashangaa Rais ana PoP.

Wakati wa Magu, Janet alilazwa Muhimbili hivyo hatujui aidha aliugua kweli au alipigwa.

Wanasiasa ni wasenge
Hatari sana
 
Mbowe alianguka baada ya aidha kulewa au kufarakana na Joyce Mukya, siasa zilichomekwa tu ili kuua soo.

Hata Mkapa aliwahi kupigana na mke wake Ikulu, asubuhi wananchi wakashangaa Rais ana PoP.

Wakati wa Magu, Janet alilazwa Muhimbili hivyo hatujui aidha aliugua kweli au alipigwa.

Wanasiasa ni wasenge
Matukio ya Mkapa na Magufuli sio justification ya Mbowe.
 
Chadema kimeundwa na kundi la wachumia tumbo, waongo na wahuni. Kama viongozi wa juu kabisa wa chama kama vile Mbowe, Lisu, mch Msigwa ni waongo wa kishamba hivi, je utawezaje kuwaamini viongozi wao wa chini kama kina Yericho Nyerere na wengineo? Hawa jamaa wanasiasa za kipuuzi na kijinga sana. Kwa bahati nzuri wanafanikiwaga kuwadanganya wajinga ambao hawana upeo na siasa. Sisi wengine toka miaka 90 tunafatilia siasa ndio maana mtu akivunjika mguu kwenye vijiwe vya gongo na kuja kuipakazia serikali hatukubaliani nae.

View attachment 1844572

View attachment 1844573

View attachment 1844574

View attachment 1844575

View attachment 1844576

View attachment 1844578
Heri ya mchumia tumbo kuliko mchumia "matako!" Shibe ikisumbua matako yanapata tabu .
Dr.Remy aliimba "...usicheke cheke kwa vile leo umekula....!"
 
Chadema kimeundwa na kundi la wachumia tumbo, waongo na wahuni. Kama viongozi wa juu kabisa wa chama kama vile Mbowe, Lisu, mch Msigwa ni waongo wa kishamba hivi, je utawezaje kuwaamini viongozi wao wa chini kama kina Yericho Nyerere na wengineo?

Hawa jamaa wanasiasa za kipuuzi na kijinga sana. Kwa bahati nzuri wanafanikiwaga kuwadanganya wajinga ambao hawana upeo na siasa. Sisi wengine toka miaka 90 tunafatilia siasa ndio maana mtu akivunjika mguu kwenye vijiwe vya gongo na kuja kuipakazia serikali hatukubaliani nae.


View attachment 1844572

View attachment 1844573

View attachment 1844574

View attachment 1844575

View attachment 1844576

View attachment 1844578
Eti ni heshima kwa Mungu kumzomea & kumtukana Lowassa
 
Sijui. Mimi huwa napenda kuyaangalia mambo kwa upeo wa tofauti kidogo.

Mbowe ni kiongozi mkubwa tu kitaifa kwa CHADEMA. Najiuliza hiyo kuvamiwa kwake na kupigwa miguu lengo lilikuwa nini? Hospitali huwa mtu anayepigwa kwa magongo au kitu kikubwa mwilini majeraha yake yanafahamika. Kitaalamu kabisa.

Kwa Mbowe haikuwa hivyo nini kilichotokea kiuhalisia? Hawa watu waliweza kuingia mpaka kwa Mbowe bila CCTV kuwa detect ilikuaje? Lakini inakuaje Mbowe anakosa CCTV pale kwake? Hakujifunza kwa lililotokea kwa Tundu Lissu?

Tuseme alivamiwa akiwa nje. Je, Mbowe hana Mlinzi hata mmoja? Aliposhushwa kwenye gari au alikuwa ana drive mwenyewe?alikuwa all alone kwa wakati wote huo?

Napata maswali mengi kuliko majibu. Mimi nina tatizo la kutoacha jambo kiporo. Nlikuwa najiuliza Serikali kama ndo ilikuwa imetuma watu basi ilikuwa inafanya mambo kipuuzi kabisa. Yaani mnatuma watu wakampige miguu Mbowe? Ili iweje?

Tunajua wale ambao walitumwa kwa Tundu Lissu walitumwa ili wamuue. Walitumwa na nani...hatujui. na mimi binafsi nashangaa Serikali mpaka leo imeona haina haja ya kufuatilia jambo hilo.

Je ni kweli Mbowe alivamiwa na hao mabaradhuli wakampiga piga tu miguuni? Ili iweje sasa? Lakini naye Mbowe anaishi peke yake sehemu hiyo tena bila Ulinzi? Mi kuna mambo huwa tu nakaa nawaza. Nasema hiii...

Hizi siasa za Kitanzania. Usanii vyama vyote vinafanya.yaani hakuna wa kumwamini. Inafikia hatua hata ukweli tunaanza kuu doubt.

Mambo kama haya mara nyingi sisi ambao tumebaki na akili zetu ndo tunawaza. Lakini wafuasi wa Chama na Mtu. Hawawezi pata muda huu wa kuwaza. Wataishia kutukana tu

1. Peopleeeeeeeeeeeee's ! Power.

2. Kidumu chama cha mapinduzi! Kidumuuuuuuuu.
Lile lilikuwa genge la Chato na haki itapatikana tuu!
 
Back
Top Bottom