Dear Nyerere,
Ulisema "Nawambieni na msikilize kwa makini, UTII ukizidi sana unakuwa WOGA, na utii huzaa unafiki na kujipendekeza. "
Hakika ulisema kweli, maana siku hizi tunasikia kwa viongozi wetu 'Rais ametoa hela tujengee sijui mara barabara, hela za maji , shule...' ni taabu kweli.